The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Kocha wetu anashinda mech mbili ya tatu kichapo ya nne suluhu au kichapo anarudi tena kushinda mech mbili
Pamojan a kwamba sipend solskjaer afukuzwe ila hizo ni dalili za kocha tulie nae ni wa daraja la kati
Ingekua yule pazia yuko golini, tungekua tunaendelea na mambo mengine saiv, at least huyu anarudsha round ya pili!
Ingekua yule pazia yuko golini, tungekua tunaendelea na mambo mengine saiv, at least huyu anarudsha round ya pili!
De gea limebaki jina tuu sasa!Kwa sasa ninamuamini Romero kuliko Degea
Cleansheet nyingi anazopata sio coincidence
Sent using Jamii Forums mobile app
Ole ni muuaji kama anavyojulikana! Anaua timu80min without shot on target.
Sent using simu mbovu
Nyumbu nyunguli mmeshindwa hata kumpa kipa wao mpira japo adake tu..
Hiyo timu yako siijui
Awa fans wa Arsenal cjui wamekuja kuwaje ..wakishinda gem moja tu wanasumbua kama fans wa Man u ..Nyie mashabiki wa arsenal mnaoweka kelele humu tulieni, hamuoni ndugu yenu Aaron kashika adabu.
Kushinda mechi moja kelele
Sasa si tumekufunga wewe... Unataka tumpigie nan kelele...Nyie mashabiki wa arsenal mnaoweka kelele humu tulieni, hamuoni ndugu yenu Aaron kashika adabu.
Kushinda mechi moja kelele
United have failed to register a shot on target against Wolves
Kale ka mech kameamsha haya daaaaYaani nyinyi dahhhh.....
Goli mumeshindwa kufunga ndio mshindwe hata on target walau 1 ili tuone kweli mlikuwa na nia!!!!...
Nyumbu ni NYUMBU tu.View attachment 1312593
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona trend yake ipo hivyo ukiangalia hata kikosi kilichoanza kilikuwa chepesi sana lakin wolves walipata shida sana walianza kupumua baada ya kumuingiza jimenez hapo tutgemee mech mbili ngumu atashinda ya tatu nyepes anafungwaKwani hii katokaje?
Wewe ni ndugu yangu.Kale ka mech kameamsha haya daaaa