Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,032
Zinanisaidia sana....zimenisaidia kupanda nafasi katika msimamo.... Za mwaka jana zilinisaidia nisimalize wa6 kama wewe.... Wewe ndio ulietuvutia mkia big six mwaka jana....Zilisaidia nini? Huna tofaut na mshabiki wa hii timu anafurahia kuifunga chelsea na man city kisha unafungwa na arsenal na watford
Lampard kachukua point 6 ndani ya top six solskjaer kachukua point 11 ndani ya top 6 liverpool kaambulia point kwa united rudi kwenye msimamo sasa
Sasa ligi inageuka arsenal kuchukua point 4 za united mei out of top 4 huzuni
Zinanisaidia sana....zimenisaidia kupanda nafasi katika msimamo.... Za mwaka jana zilinisaidia nisimalize wa6 kama wewe.... Wewe ndio ulietuvutia mkia big six mwaka jana....
Nakutakia kheri ya mwaka mpyaView attachment 1310068
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona zilishaga rudi zamani
Mechi zetu 8 zijazo, kwa trend hii ya uchezaji, mwezi huu utakuwa mgumu sana
Wolves (Away) - 04, Januari
Manchester City (Home) - 07,Januari
Norwich City (Home) - 11, Januari
Liverpool (Away) - 19, Januari
Burnley (Home) - 22, Januari
Manchester City (Away) - 29, Januari
Wolves (Home) - 01, Februari
Chelsea (Away) - 17, Februari
Sent using Jamii Forums mobile app
Ikasaidia wewe kuwa underdog
Hata Rvp kazungumza hili la bwana Ole pamoja na timu kucheza vibaya + kufungwa anatabasamu tu chekaHv ulishawahi kumuona Ferguson akicheka pale United inapopoteza?Ferguson alikuwa anaonyesha hisia fulani ambazo zilikuwa zinaonyesha wazi amekasirika.Alikuwa mpaka analaumu waamuzi na kutoa lugha kali.Alishawahi kusema kwenye press conference 'nashangaa leo mwamuzi alikuwa hawezi kukimbia kwenda na kasi ya mchezo.Nadhani alikuwa ameshiba sana lunch.'
Alipigwa faini na kufungiwa mechi alipotoa hii kauli.Labda ndio maana watu wengi mpaka leo wanaamini kwamba United ilikuwa inabebwa na waamuzi lakini press conference ndiyo inatoa picha halisi ya aina gani ya kocha aliyepo kwenye timu.
Ole Gunnar Solskjaer jana kwenye press conference alionyesha wazi kwamba anaishukuru 'mizimu 'iliyompa bahati ya kuwa kocha wa timu kubwa kama United.Alisema 'pamoja na kupoteza tulicheza vizuri 'huku akitabasamu.Tena sio kwa tabasamu la kawaida kawaida tu. Tabasamu lile wazungu wanaloita 'genuine smile kama anavyoonekana kwenye picha hapo chini.
Usingeweza kuona kitu kama hiki kutoka kwa Ferguson.Siku ambayo United ingepoteza dhidi ya Arsenal ungemuona tu akiwa amefura macho mekundu 'kwa kweli tulikuwa ovyo sana leo tumeruhusu magoli rahisi sana'.Lakini asingeweza kuongea hivyo huku akiwa anatabasamu wakati ametoka kufungwa na Arsenal.United mara nyingi huifunga Arsenal iwe Emirates au Old Trafford.
Ole Gunnar Solskjaer ana bahati kubwa kuifundisha United. Ni kijana wa Carrington.Ni United 'through and through na anapokaa kwenye bench washabiki wote wanajifeel wapo na mtu mwenye damu ya United Lakini ni muhimu awe halisi na asiwe kama muigizaji mbele ya vyombo vya habari.View attachment 1309982
5 na 6 mentality za arsenal banaZinanisaidia sana....zimenisaidia kupanda nafasi katika msimamo.... Za mwaka jana zilinisaidia nisimalize wa6 kama wewe.... Wewe ndio ulietuvutia mkia big six mwaka jana....
Nakutakia kheri ya mwaka mpyaView attachment 1310068
Sent using Jamii Forums mobile app
Scott na fred madson au pogba nyuma ya striker
Tumekusikia wakala wao nani wakukubishia ikiwa wakala wao umewasemea wakina bakayoko vipaji vyao vimekuwa vikubwa pale chelseaPogba sahau
Maddson sahau
Werner sahau
Pogba hawezi kuendelea kuua kipaji chake.
Man u ni club ya kuua vipaji.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa oleeee tumezitaka wenyewe hiz fujo za watfordZinanisaidia sana....zimenisaidia kupanda nafasi katika msimamo.... Za mwaka jana zilinisaidia nisimalize wa6 kama wewe.... Wewe ndio ulietuvutia mkia big six mwaka jana....
Nakutakia kheri ya mwaka mpyaView attachment 1310068
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa snitch...Hata Rvp kazungumza hili la bwana Ole pamoja na timu kucheza vibaya + kufungwa anatabasamu tu chekaView attachment 1310107
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia nshakufanya kama mlamba miguu yangu vile...Daa oleeee tumezitaka wenyewe hiz fujo za watford
Cheki hapa wewe..... Here is Lingard vs Uchafu5 na 6 mentality za arsenal bana
Yaani nimecheka sana...yaani wewe ndio unalazimisha wakutolewa na kuingia....nyumbu bwanaOle kocha hovyo James ndio arsenal walikuwa wanamlenga sana na msumbufu kwao, cha ajabu anatolewa unaacha Rashford wanaoburuza mpira hadi unapotea.
Sasa iwe hivi Rashford akizingua Greenwood anaingia James anahamia kushoto.
Nimekereka na Chance za mwanzoni hasa ile ya Lingard kubuluza mpira uliopigwa kimakosa na beki.
Wewe ushagongwa rungumax 2 tulia......next station is CP.
Hili povu...mdau yeye ana furaha tu kuwa amukukunyuga jana basi.Zilisaidia nini? Huna tofaut na mshabiki wa hii timu anafurahia kuifunga chelsea na man city kisha unafungwa na arsenal na watford
Lampard kachukua point 6 ndani ya top six solskjaer kachukua point 11 ndani ya top 6 liverpool kaambulia point kwa united rudi kwenye msimamo sasa
Sasa ligi inageuka arsenal kuchukua point 4 za united mei out of top 4 huzuni