Rashford anazingua aise ubinafsi mwingi anatukosesha ushindi wa uwakika, naona kama ananza kuhisi tim inamtegemea hivi pale mbele, ukimtazama vizuri unaweza ona hari flani hivi ya u star inamuingia.
Rashford anazingua aise ubinafsi mwingi anatukosesha ushindi wa uwakika, naona kama ananza kuhisi tim inamtegemea hivi pale mbele, ukimtazama vizuri unaweza ona hari flani hivi ya u star inamuingia.
Rashford anatoa pasi pale tu anapokuwa hana nafasi, siyo kwamba kuna mwenzake mwenye nafasi nzuri zaidi. Very bad spirit. Tutapata shida sana kupata striker wa kaliba ya Rooney.
James ni muhimu sana kutiko Martial, Pereira na Rashford. Sema game ya leo inawaendea vizuri, hii first half Pereira katulia sana anacheza kwa umakini.
Mkuu niliwahi kukwambia kuwa James ni muhimu kuliko Rashford ila anaweza asiwe bora kuliko Rashoford.
Tazama dribbling na pasi anazopiga James anapo elekea wapinzani, then mtazame Rashford dribbling anazofanya na pasi anazopiga, pasi nyingi za Rashford zinakua hazina faida anatoa pasi kwa mtu ambaye hayuko kwenye nafasi sahihi or ana dribble mwisho anapoteza mpira.