Yaani watu mnatamani Pogba acheze vibaya ili tuu mpate la kuongea. Pogba bado ni our best player regardless ya attitudes zake.Doo huyo pogba huyo!! Basi tutegemee kiungo kucheza vibaya
Matic anaweza akaanza nafasi ya ScotLeo Scot hayupo (injury) , mid yetu tutegemee kuwa na Fred na Pogba
Sent using Jamii Forums mobile app
Matic anaweza akaanza nafasi ya Scot
Tunaitaji consistency ile njaa tuliokua nayo dhidi ya newcastle iwe pia against burnley
Sent using Jamii Forums mobile app
I prefer this lineup today, Burnley wapo vizuri ktk Aerial threat, badala ya Lindelof acheze Tunzebe amsaidie Maguire na pale kati Matic asaidiane na Fred and Master class PogbaMatic yupo slow sana, anyway ndio viungo tulionao
Acheze Matic na Fred halafu namba kumi acheze Pogba
Ila kwa ninavyomuona OGS chini atacheza Pogba na Fred, halafu juu atampanga Lingard/Pereira
Sent using Jamii Forums mobile app
I prefer this lineup today, Burnley wapo vizuri ktk Aerial threat, badala ya Lindelof acheze Tunzebe amsaidie Maguire na pale kati Matic asaidiane na Fred and Master class Pogba
Lindelof mipira ya juu anazinguaView attachment 1305607
Sent using Jamii Forums mobile app
Vita haijaisha, hivyo tujipe muda zaidi.City kafa kwa Wolves in and out
Nuno Espirito Santo sio mtu mzuri kabsa
Nakumbuka msimu ulivyokua unaanza cha domo Mourinho alisema premier league title contender
No1 Mancity
No2 Mancity B
Mr Pep welcome to Premier League
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo jamaa kwenye namba 6 ashashindwa so labda ktk nafasi zingine hasa 10.Yaani watu mnatamani Pogba acheze vibaya ili tuu mpate la kuongea. Pogba bado ni our best player regardless ya attitudes zake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akipanga hivyo kutaleta tija,ila kumuweka pogba 6 tutarudi tena Hapa kumnanga mwalimu na VirusMatic yupo slow sana, anyway ndio viungo tulionao
Acheze Matic na Fred halafu namba kumi acheze Pogba
Ila kwa ninavyomuona OGS chini atacheza Pogba na Fred, halafu juu atampanga Lingard/Pereira
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi na Newcastle ilikuwa 4-3-3 bila 10, striker watatu mbele martial, rash na Greenwood na midfield 3 nyuma yao.Matic yupo slow sana, anyway ndio viungo tulionao
Acheze Matic na Fred halafu namba kumi acheze Pogba
Ila kwa ninavyomuona OGS chini atacheza Pogba na Fred, halafu juu atampanga Lingard/Pereira
Sent using Jamii Forums mobile app
VAR inaharibu mpira aise ile nayo ni offside kweli?Norwich anaua watu uku
Perrera yumo ndugu yangu. Anazidi kuwaweka watu bench hata sielewi kwakweliI prefer this lineup today, Burnley wapo vizuri ktk Aerial threat, badala ya Lindelof acheze Tunzebe amsaidie Maguire na pale kati Matic asaidiane na Fred and Master class Pogba
Lindelof mipira ya juu anazinguaView attachment 1305607
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi Perrera anamuwekaje bench Mata?