What if Pogba bado hajawa fit kucheza 90min..we unadhani Ole ana uwezo wa kumweka Pogba aliyefit nje??
Kwa James pia naona ni sawa tu,na hata hili nilisuggest kwenye kikosi changu nilichokipanga..Anakuwa kimya sana tunapokutana na timu zinazotuacha tuchezee mpira,sio mbaya kujaribu option nyingine nakuona how it works..
Ila Perreira on that no 10 role though!!..Jeezy!!!