Duh! Leo umeamua kumuwakia De gea,
Mtizamo wangu, kosa la jana ni la kawaida kama mwanadamu. Lakini pia usisahau, umaarufu wa De gea kama GK ni saves zake za maana kwa UNITED. Unadhani kwa nini si Romero?
Usiteme Big G kwa karanga za kuonja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mechi hiyo hiyo maeneo hayo hayo alifanya hivyo hivyo akafanikiwa ,sasa watamlazimisha delay ataacha mwenyewe tu ,tupo hapa kukumbushana
Swali lako limenifikirisha pia.Sorry mkuu, Hivi kuzifunga timu Kama crystal palace, Huddersfield, Cardif, Southampton, Newcastle,na hawa Watford. Inahitaji usajiri mpya??
Au zinahitajika mbinu mpya??(maybe kutoka kwa kocha mpya)
Hahhaaaaa umenifurahisha sana mkuu tuvunje timu dah.Yaani hata Europa hatuwezi kuchukua(kucompete properly)..like serious??...Yaani Ac Milan aliyepigwa tano jana na Atalanta naye tunamhofia..Basi inabidi hii timu ivunjwe kila mtu akafanye mambo yake
Akiwa Roy Keane sipati picha sekeseke litakalotokea chumba cha kubadilisha nguoangekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi
Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.
Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.
First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??
Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
Lingard apigwe bench maisha, zamu yake apewe M.GreenwoodMkuu umeandika kwa hasira sana,pole sana.
Ole anakera sana na watoto wake pale united.
Huu ungese kwelikweli mechi kibao adake DDG, sijui kama tutachukua Yuropa kweliAna a lot of high profile mistakes,
Trust me, kosa la juzi halitakuwa la mwisho
Why Degea and not Romero, jibu ni simple huwa ni ngumu kum drop starter kwenye timu, hasa kwa makocha waoga waoga na wanaoogopa wachezaji kama OGS
Na mimi nikuulize, why Degea siku hizi baadhi ya mechi za Spain haanzi na anaanza Kepa (kwanini Degea siku hizi hana uhakika wa namba Spain)
Romero ana uwezo, na ame prove kwenye mechi nyingi kuwa ana uwezo
Kuna ule msimu ambao Degea alikuwa anataka kwenda Madrid, LVG alikuwa anamuanzisha Romero (mpaka Degea aliposaini mkataba mpya) na jamaa alidhibiti lango vizuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Roy Keane nmbane sana majuzi hpa alimdongoa martial. Gary Neville akasema Martial ni mchezaji ambae akiwa form anaweza kutupa goli 25, Roy akasema itakuwa lini? Maana jamaa ameishapewa muda wa kutosha he is not good enoughAkiwa Roy Keane sipati picha sekeseke litakalotokea chumba cha kubadilisha nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Martial auzwe tu hana jipya.Roy Keane nmbane sana majuzi hpa alimdongoa martial. Gary Neville akasema Martial ni mchezaji ambae akiwa form anaweza kutupa goli 25, Roy akasema itakuwa lini? Maana jamaa ameishapewa muda wa kutosha he is not good enough
Sent using Jamii Forums mobile app
Roy Keane angewapiga makofi mpaka wachanganyikiwe..Akiwa Roy Keane sipati picha sekeseke litakalotokea chumba cha kubadilisha nguo
Sent using Jamii Forums mobile app
Pogba katengeneza chance tatu dk 13 mnataka awafanyie nini? Nachomsikitikia anacheza na wachezaji wa kawaida sana anamletea greenwood mguuni kugusa juu akashindwaangekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi
Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.
Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.
First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??
Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
Punguza chuki kwa Pobga, He was our best player that day..angekuwa anasimama kuwahamasisha wachezaji,watu wanaoona hakuna umuhimu kusajili wa strikers ndio muone umuhimu wa kusajili, hii timu inatakiwa iendelee kusajili tuu, kuna wachezaji watatakiwa wafungashe virago wkt ukiwadia, masho anatakiwa ajue anaweza akakosa namba, pogba anatakiwa ajue, fred anatakiwa ajue, degea anatakiwa ajue, hakuna mchezaji muhimu kuliko timu, nashangaa degea anakuwa anttachble, Pogba hagushwi
Ona Rashford,anajitahidi but when you are 20 yard why are you kissing the keepers, why ain't you fuc.k kick? Ole is now trying to feel Rashford is untachable, i real don't give a shit.
Ni upumbavu, halafu wote tukae tuamini hivyo?? Never. Hata ole anatakiwa ajue anaweza akafukuzwa vile vile, yule mpuuzi anayejiita agent wa pogba pamoja na upuuz wake alisema kweli, wamarekani wanatanya biashara sio soka.
Nilichojifunza, the so called first eleven kwa utd ikicheza tu tunapoteza, wakichezeshwa mchanganyiko, yaani ondoa pogba, ondoa kabisa mashal benchi, weka James pembeni, weka perreira ndani japo anazunguka, i swear fred na MacTommary wanakosa sapoti. AWb anakosa sapoti na magwaya, lkn nawaona wamekuja kikazi, ukitoa watoto wa akademi hao wengine tupa kule. Tunashinda mechi. Ole anafeli kwenye kuwapa kichwa anadhani ni best players on the planet sio kabisa.
First eleven inaendelea kufanyiwa majaribio, wakicheza wakali wote wa utd why tunafeli??
Lack of commitment, seriousness 90 min why can't you fuc.k your opponent, ndio maana natamani kocha wa utd awe Roy Keane,he could hav kicked your ass kwenye changing room, Kean is good man, ole is very soft, he is doing ok on encouraging but he have to turn the other side, do then, fire Pogba, who are you afraid from?
Punguza chuki kwa Pobga, He was our best player that day..
Pogba this Pogba that.. Imagine angekua ndio kafungisha au kakosa clear chances. Pogba is not our problem.
Sent
What s our prolem?
Ushaambiwa kuwa alivuta bangi usikuSio kazi rahsi kufanya hayo maamuz kama unavyofikria
Hawa sio Nyumbu mkuu,hawa ni NYEMBU.....ukisoma kutoka mwisho kwenda mwanzo,Nyumbu zimechezea kichapo cha maana.