Wasi wasi wangu Halland asije kupewa pressure na media pamoja na mzigo mkubwa atakaobebeshwa.
Bado naamini kama tulimkosa Lewandoski basi huyu dogo akijua United ni Lewandoski nwingine.
Ukiwa atasajiliwa kisha akachezeshwa pamoja na Greenwood na Namba kumi mzuri huenda tukawa na Front three kali sana baada ya kina Rooney, Ronaldo na Tevez au ya kina Rooney, Van Persie na Luis Nani.
Sent using
Jamii Forums mobile app