Google Diggers
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 944
- 1,149
Haya haya maisha yetu ya kauka nikuvae. Striking force ipo vzr, backline ipo poa, tatizo namba ya mata,lingard, hii jamba kumi haina mtu kabisa. Mchezaji huyu wa kuforce kingi. Namba 8 na namba 10 hakuna.Liverpool mechi nyingi wamesaidiwa kushinda na idara zingine katika timu siyo striker tu.
1 game na Leceister walishinda kwa msaada wa midfield
2 kuna game walishinda magoli yote yakifungwa na Van Dijk
3 Mechi na Aston villa walishinda kwa magoli ya kutoka kwa Robertson na Sadio Mane.
4 Mechi na Man united walisawazisha kwa goli la Lallana Midfielder
Ukiangalia timu yetu idara ya ulinzi kama imefunga goli katika mechi zote tulizocheza hayazidi mawili goli la William's na Lindelof
Idara ya kiungo naangalia naona goli la Pereira na Mctominay, tofauti na hapo magoli yote yamefungwa na strikers wetu.
Siyo mechi zote striker anaweza kufunga kuna mechi zingine hautakuwa form hivyo idara zingine zinafill hilo gape.
Mpaka sasa striking force yetu imejitahidi sana kwanza kulingana na nafasi chache za kufunga magoli tunazotengeneza.
Mechi yetu na Everton tulitengeneza nafasi chache za kufunga lakini hatukuweza kuzitumia, lakini nafasi hizo nyingi walizipata ni midfielders na defenders baada ya strikers wetu kuwa marked sana.
Tusiligeuza jukumu la kufunga uwanjani kama ni la kwao pekee wachezaji wetu wa idara zingine lazima watambue wajibu wao wakufunga zinapopatikana nafasi pia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umesahau kipara mmoja aliletwa mwaka mmoja tu. Mswedesh flan. Lkn pia kumleta haalaand sio vby, mradi tu aje na mzoefu mwingine.Mc cane, Kwa jinsi ulivyojibu hoja yangu nahisi umemfahamu Erling miezi mitatu iliyopita na kuangalia takwimu zake Wikipedia na YouTube sio mchezaji wa maana sana kama watu wanavyomkuza hapa. Kwa upande wa Mason umemfahamu pre-season, kama ulikua hufahamu huyu ndiye aliyefanya Romelu aruhusiwe kuondoka tactical team waliamini he was the best backup nyuma ya vilaza hawa wawili Marcus na Anthony sema wajinga wameliangusha bench la ufundi wame-deliver below target.
OGS alitarajia Mason angetambulishwa kikosini taratibu na sio kwa style hii anayokuja nayo ya kuwa kama mkombozi wa timu huwa ni rahisi kumpoteza moja kwa moja badala kumkuza sisemi haya kwa ssb anafunga hapana ila kumnunua Erling ni matumizi mabovu ya pesa. Kikosi chetu kina washambuliaji wanne Anthony(23), Marcus(22), Daniel(22) na Mason(18) kama unaangalia vizuri hapa hakuna mchezaji mzoefu hata mmoja kuna wachezaji unawanunua kuja kuwajenga wengine na sio kujaza watu wanaofanana uzoefu na uwezo. Na mtu yeyote anayeangalia beyond the smoke anaelewa nazungumzia nn hapa hata kibabu Fergie kilitumia sana hii mbinu wakina Wayne na Cristiano walijengwa nyuma ya Ruud, Ryan na Saha kwa vipindi tofauti tofauti na baadae akamleta Dimitar na mwisho kabisa akamleta Michael. Yote haya yaliwapa muda mwingi wa kujifunza kwa Wayne na Cristiano pasipo pressure walikuwa na watu wazoefu waliowasaidia kuwajenga. Chukulia mfano toka mwaka 2003 mpaka 2009 tungewakabidhi timu Wayne na Cristiano peke yao bila wazoefu kama unavyoshauri wewe tusingebeba kombe hata moja.
Kama tunataka mshambuliaji basi awe mzoefu sio mtu wa kuja kujaribiwa kama huyo Erling. Umezungumzia kuhusu kuuzika mchezaji yeyote yule yupo sokoni ni wewe tu unapeleka nn mezani, tena sisi tuna bahati sana tunaweza kutumia chambo ya Marcus au Anthony na pesa juu kumpata Harry Kane.
Sio kwamba Ole Gunner Solsher hakumhitaji au kumpenda Lukaku ni Mentality, discipline tu, tena iliyojengwa na Morinyo misifa..kama Erling ataongeza kitu kimoja tu ajue tu unitd nikupambana tena mpaka mwisho atakuwa sawa, lkn pia kama ataelewa kuwa mfumo wa United ni kupambana mwanzO mwisho ok. Akiwa mvivu atakuwa lukaku mdogo, kama nilivyomuona akiwa Erling basi .PTER, YouTube videos huwa zinakupa best moves ktk mechi moja moja tu kwa hiyo ule muunganiko wake utakufanya kila mchezaji aonekane mzuri. Ubora wa mchezaji hupimwa unapomtizama kwa mechi nzima unagundua vingi sana juu yake asipokua na anapokua na mpira pamoja na movement zake kama mshambuliaji. Huyu Erling akienda Ujerumani au Italia atafanya vizuri sana, akija kwetu mtamkana huyu kabla hata jogoo hajawika yaani kabla msimu haujaisha. Nikimuangalia Erling ni Romelu mdogo kwa sehemu kubwa wanafanana uchezaji wao.
Umesahau kipara mmoja aliletwa mwaka mmoja tu. Mswedesh flan. Lkn pia kumleta haalaand sio vby, mradi tu aje na mzoefu mwingine.
Matangazo ya biashara yanahitaji watu kama haalaand Erling kwa sasa, narudia kwa sasa, kama ambavyo wengi hawajui, pogba anatumika kibiashara zaidi. Ndio maana timu inashinda bila yeye, lkn kibiashara, ni muhimu Kumbukeni United ipo kisoka na kibiashara. Luninga zinategemea sana utd icheze waonyeshe streaming pesa iingie, majuzi ndani ya miezi miwili, nilifanya utafiti, kila bar niliyoenda mechi zaUnited zinapigwa ban, hotels nikiingia, home dstv kifurushi hola, lkn baada ya kuwachapa chelsea, drawn na Liverpool, kushinsa mech za europa, naona kwenye bar zile zile heshima imerudi, hata supersport 3 wanaonyesha eed devol marches.
So mchezaji atakaeuza jezi, matangazo ya makampuni makubwa kama adidasi, chevel, nk lazima ahit soko Erling usishangae anaandaliwa kubeba mikoba ya Pogba kama MAIN MAN. Ili mchezaji awe main man lazima alikonge soko la mpira, akija Erling bila mzoefu mwingine say lewandosky au Manduzukic ni sawa na bure. Mchezaji kama MacTommary unashangaa anazunguka vzr box to box lkn kibishara, hadi auzwe millions of pounds, ndio awe maarufu na beinkuuubwa matangazoO kibao. Nionavyo mm mah city, Liverpool na Chelsea zilipofikia zingeuza sana. Lkn man utd ametetereka lkn akirejea anauza zaidi kwenye soko tatizo manager morinyo chizi anagombanisha wachezaji, management jamaa kocha mzur lkn msengerua sana. Ogs namuona anaelekea, hatukani hovyo hovyo.
Eeh mafuriko jamaa hawakutaka kucheza na makindaLiva huko vipi?
Eeh mafuriko jamaa hawakutaka kucheza na makinda
[/QUOT
Wale mamalaya wanapigilia balaa. Yaani sijui klop anataka aondoke maana ndio dalili,kufuru anayoifanya...na akiondoka lazima ishuke daraja, mimi man utd bwana. Jigoo hajawahi kupendwa
S
Sio kwamba Ole Gunner Solsher hakumhitaji au kumpenda Lukaku ni Mentality, discipline tu, tena iliyojengwa na Morinyo misifa..kama Erling ataongeza kitu kimoja tu ajue tu unitd nikupambana tena mpaka mwisho atakuwa sawa, lkn pia kama ataelewa kuwa mfumo wa United ni kupambana mwanzO mwisho ok. Akiwa mvivu atakuwa lukaku mdogo, kama nilivyomuona akiwa Erling basi .