Manchester United (Red Devils) | Special Thread

This could be the best approach,
Everton wamepaacha wazi katikati wakatukatia NETWORK pembeni sasa hivi ni bora Aingie Juan Mata hapo namba kumi walau tuongeze creative.
Toa Lingard, weka Greenwood kwa kuanzia

Tum target Davies zaidi mwenye kadi ya njano, DJ apewe hiyo kazi kukatiza kati a mbele yake

Dhidi ya timu ndogo, kaugonjwa kalekale

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…