DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Dec 7, 2019 #122,161 Kila la heri UTD GGMU
Alexander Lukashenko JF-Expert Member Joined Sep 9, 2017 Posts 4,283 Reaction score 10,057 Dec 7, 2019 #122,162 Hii ni December lingard hugeuka messi.....kipindi hiki afu anapotea mwaka mzima
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 Dec 7, 2019 #122,163 Ngoma inogile View attachment 1284768
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Dec 7, 2019 #122,164 buffalo44 said: Now namuelewa ARV kuhusu Martial huyo dogo asugue banch bora Greenwood anapambana kumbuka mechi na Sheffield United. Click to expand... Leo amerudishwa mkuu..tegemea maumivu makali. Na hawa makocha ndio maana wanatimuliwa, mtu hana juhudi yoyote kwenye timu unamng'ang'aniaaaaa..
buffalo44 said: Now namuelewa ARV kuhusu Martial huyo dogo asugue banch bora Greenwood anapambana kumbuka mechi na Sheffield United. Click to expand... Leo amerudishwa mkuu..tegemea maumivu makali. Na hawa makocha ndio maana wanatimuliwa, mtu hana juhudi yoyote kwenye timu unamng'ang'aniaaaaa..
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Dec 7, 2019 #122,165 M kathias said: Toka msimu umeanza MAN U hajawahi kushinda mechi mbili mfululizo. Click to expand... Malizia, ...na hajawahi kufungwa na timu kubwa.
M kathias said: Toka msimu umeanza MAN U hajawahi kushinda mechi mbili mfululizo. Click to expand... Malizia, ...na hajawahi kufungwa na timu kubwa.
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,528 Reaction score 7,923 Dec 7, 2019 #122,166 User2008 said: Hii ni December lingard hugeuka messi.....kipindi hiki afu anapotea mwaka mzima Click to expand... Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha.
User2008 said: Hii ni December lingard hugeuka messi.....kipindi hiki afu anapotea mwaka mzima Click to expand... Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha.
waOLDmoshi JF-Expert Member Joined May 20, 2018 Posts 879 Reaction score 1,753 Dec 7, 2019 #122,167 Let's wait and see, What Lingard gonna do.
ruralofficer JF-Expert Member Joined Apr 4, 2014 Posts 2,499 Reaction score 3,635 Dec 7, 2019 #122,169 Martial akifunga usishangilie ARV said: Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha. Click to expand...
Martial akifunga usishangilie ARV said: Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha. Click to expand...
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Dec 7, 2019 #122,170 Yes Penalty to Utd Nani atapiga
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Dec 7, 2019 #122,171 Goal... Rashford GGMU
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Dec 7, 2019 #122,172 13th goal of the season for Rashford
Mr worldwide JF-Expert Member Joined Dec 30, 2017 Posts 348 Reaction score 740 Dec 7, 2019 #122,173 DonDonald said: Yes Penalty to Utd Nani atapiga Click to expand... bora myapige tu
Bhagavan JF-Expert Member Joined Oct 28, 2017 Posts 2,005 Reaction score 2,893 Dec 7, 2019 #122,174 Wakuu nipo safarini, vp matokeo huko mnaoangalia mechi??
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Dec 7, 2019 #122,176 Dah imegonga mwamba, Rashford yupo on fire
wakubeti JF-Expert Member Joined Oct 5, 2018 Posts 562 Reaction score 860 Dec 7, 2019 #122,177 Achana kwaleo tufungwe angalau 2
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Dec 7, 2019 #122,178 Goaal.. Martial Utd 2
severinembena JF-Expert Member Joined Jun 2, 2018 Posts 2,435 Reaction score 2,402 Dec 7, 2019 #122,179 ARV said: Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha. Click to expand... Ha ha ha ha Leo kaweka. Nadhani utaacha sasa
ARV said: Ananyimwa tu nafasi, ni mpambanaji haswa leo atatusaidia sana, lakini kuna jitu litakuwa linamkwamisha. Click to expand... Ha ha ha ha Leo kaweka. Nadhani utaacha sasa
Bila bila JF-Expert Member Joined Dec 20, 2016 Posts 22,620 Reaction score 39,980 Dec 7, 2019 #122,180 0-2