Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,561
- 21,511
Wapi Nimesema Ole Ni Bora???Trust me, utamkataa Ole Sendeka kuwa ni kocha mkuu sahihi wa Manchester United hata kabla ya December kufika
Wapi Nimesema Ole Ni Bora???
Naona zile goal mbili za Rashford zinakulevya mpaka Sasa , inamaana hujui kama tumeshaingia mwezi December???
HakikaChelsea
Arsenal
Liverpool
Tot
Watu wengi wali bet vibaya dhidi yetu kwa hiyo chuki zingine inabidi wana man united tuzivumilie wanaumia kwa mengi
Sawa mkuu nimekusomaMkuu sio kisiasa
Tatizo mjadala wa OGS kutosha kuvaa viatu vya u meneja pale tushaujadili sana humu, kwa hiyo sometimes ni ku avoid repeatition.
Pia kuhusu biashara kupewa kipaumbele kuliko mafanikio ya kisoka (hapa wamiliki wa timu na bodi wanahusika) tumeshakitaja sana humu kama chanzo cha kuyumbisha United
Pia structure mbovu ya uongozi inayosababisha watu wasio wa soka kufanya maamuzi ya soka au watu wa soka lakini wapita njia kufanya maamuzi ya soka (kimsingi hapa ni kukosa DoF) . Vyote hivi vimechangia kuyumbisha timu yetu.
Bila kusahau Leicester City.Chelsea
Arsenal
Liverpool
Tot
Watu wengi wali bet vibaya dhidi yetu kwa hiyo chuki zingine inabidi wana man united tuzivumilie wanaumia kwa mengi
Iyo top six nan alianzisha? Sisi tunajua top four tu..Tumerudi mtaa wa sita
Twende na Man City sasaHiw do you feel now?
Iyo top six nan alianzisha? Sisi tunajua top four tu..
Lakini Bado kuna Round ya piliChelsea
Arsenal
Liverpool
Tot
Watu wengi wali bet vibaya dhidi yetu kwa hiyo chuki zingine inabidi wana man united tuzivumilie wanaumia kwa mengi
Siku hizi si kuna top six? Nan alianzisha?Kwenye hiyo comment umeona top six ,?
Siku hizi si kuna top six? Nan alianzisha?
Mzunguko wa pili haufiki tu, nataka nikutoboe tena
Kwaiyo top six ni mawazo yenu sio..Wewe si ndiyo umesema kuna top six unataka mimi niseme nani alianzisha ?
Hawa jamaa ndo sidhani kama wanania ya dhati ya kununua klabu....maana wangekuwa interested wangekuwa wamefika mbali sanaWaarabu wana bipView attachment 1283449View attachment 1283450
Hawa jamaa ndo sidhani kama wanania ya dhati ya kununua klabu....maana wangekuwa interested wangekuwa wamefika mbali sana
Big matches madogo wanakua serious muda wote, mechi hizi za kawaida madogo wana relax sana hicho ndio kitu kinachotuponzaChelsea, Arsenal, Liverpool na Tot zote tumepata matokeo kisha tuna struggle kupata sare au tunafungwa na palace na Newcastle sielewi kabisa haya MAGAZIJUTO