Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,148
- 17,000
WatfordNaskia kuna kocha amefukuzwa kazi leo , ni kocha wa timu gani pale Uingereza kwenye EPL?
Mkuu smalling wa Roma ni beki wa dunia aniangushi kwenye mikeka mara paaap anapiga migoli mi assist blocks za kutoshawala sikuwa na nia ya kumdhihaki fred
nilichokikusudia ni kwamba mara nyingi ubora wa mchezaji unatokanwa zaidi na bidii ya mchezaji mwenyewe na si kusubiria miujiza ya mwalimu.......
mchezaji wa mpira ambaye ni professional hana utofauti wowote na mwanafunzi wa chuo kikuu aliyefanikiwa kuishi katika nyakati hizi za teknolojia (mwanafunzi anayejielewa hatakiwi kuigiza maisha ya kinda la ndege bali yeye mwenyewe anapaswa ajishughulishe)
bahati mbaya sana kwetu sisi mashabiki na wapiga kelele wa manchester united tukishirikiana na wachezaji tumekuwa tukiyaigiza maisha ya kinda la ndege (maisha ya utegemezi)
hizi ndio baadhi ya fikra zetu zinazoendelea kutawala ndani ya mishipa yetu ya hisia
kocha fulani akija tutaimarika kiuchezaji
kocha fulani akija atafanikiwa kuwafanya wachezaji wetu wapandishe viwango vyao from mediocre to G.O.A. T
bila ya kuwepo bidii kutoka kwa wachezaji wenyewe hata kama benchi letu la ufundi litaundwa na makocha wote mahodari basi hatutofanikiwa
ndio maana nikatoa mifano hii
pochettino anao uwezo wa kumfanya martial awe mchezaji bora bila ya mwenyewe kuweka bidii?
allegri anao uwezo wa kumfanya fred awe kiungo bora bila ya mwenyewe kuweka bidii?
zidane anao uwezo wa kumfanya lingard awe bora kama isco bila ya mwenyewe kuweka bidii?
sir alex ni mwalimu bora kuwahi kutokea lakini alishindwa kumfanya jones na smalling wawe bora
van gaal ni mwalimu hodari barani ulaya lakini alishindwa kuwafanya jones na smalling wawe bora
jose mourinho ni mwalimu hodari barani ulaya lakini alishindwa kuwafanya jones na smalling wawe bora
Kuna Mdau alisema kuwa Man United kila mwezi anashinda Mechi Moja tu ya EPL
Natamani ningelimjua huyu mdau
Mgonjwa ametibiwa karibia hospitali zote kapelekwa hadi India lakini bado hajapata nafuu wanafamilia tumeamua kumwachia MUNGU,coz tumebadilisha madaktali hadi tumechoka.Ishi ni kwamba bodi imeshachoka kubadilisha makocha. Wameamua kumuachia Mungu.
Solskjaer: “I just need to make sure we get performances and get three or four performances after each other. What I can say is we have had the lead in so many games and we haven’t been able to win; six or seven times we’ve been 1-0 up, or 2-1 or 3-2. We should be better at seeing those games into wins
It isn't easy to win against a team that is just above the Relegation zone when most of the players from your team have travelled to Kazakhstan midweek to play in Europe.
mtu mzima haitwi muongo

Ishu ni kwamba bodi imeshachoka kubadilisha makocha. Wameamua kumuachia Mungu.
Bodi ina wakati mgumu sana, Sosha timu imekua kubwa kumzidi, timu ina matatizo mengi kocha+wachezajiKwa sasa Ole ameshajua kuwa hana timu ya kucheza epl.
Kibaya zaidi kakosa mbinu za kuwafanya hao wachezaji wake wa hovyo walau wafanye chochote kitu.
Kwa hicho alichokisema inaonyesha kiasi gani yuko frustrated kwa sasa na hajui afanye nini.
Ninachokiona mimi Ole ana mechi mbili tu za kuendelea kuwa kocha wa man united mechi zijazo ana nafasi ndogo sana ya kushinda achilia mbali kupata sare tu.
Kama kashindwa kupata matokeo kwa hizi timu ndogo hizo zinazokuja huenda akafukuzwa tu.
Mechi ya jana ilikuwa muhimu mno kupata ushindi hasa ukizingatia matokeo ya wikiend hii yalikuwa favourable sana kwetu.
Ole kwenye ubora wake..PatheticSolskjaer: “I just need to make sure we get performances and get three or four performances after each other. What I can say is we have had the lead in so many games and we haven’t been able to win; six or seven times we’ve been 1-0 up, or 2-1 or 3-2. We should be better at seeing those games into wins
It isn't easy to win against a team that is just above the Relegation zone when most of the players from your team have travelled to Kazakhstan midweek to play in Europe.
mtu mzima haitwi muongo
Mkuu Daemusin hapo ulipokoleza ni mimi ndo sijaelewa maana yake au hahahahahaSolskjaer: “I just need to make sure we get performances and get three or four performances after each other. What I can say is we have had the lead in so many games and we haven’t been able to win; six or seven times we’ve been 1-0 up, or 2-1 or 3-2. We should be better at seeing those games into wins
It isn't easy to win against a team that is just above the Relegation zone when most of the players from your team have travelled to Kazakhstan midweek to play in Europe.
mtu mzima haitwi muongo
Ole hafiki Xmas, game za spur na city ambazo ndo zinafuata kupata point 2 itakuwa miujiza..... Sasa can u think of utdKwenye pecking order ya kutimuliwa EPL ipo kama ifuatavyo:-
Silva - Everton
Pellegrin - Westham
Solskjaer - Man Utd
Nafahamu Ed amemuhakikishia OGS kwamba kibarua chake kipo salama, lakini kwa matokeo mabovu anayopata amuulize pia Jose na LVG, nao pia walihakikishiwa
Bodi ina wakati mgumu sana, Sosha timu imekua kubwa kumzidi, timu ina matatizo mengi kocha+wachezaji