Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Brando Williams, tatizo kubwaaaa sanaaa...Shaw & Young wako bench pale. Huyu dogo bado sana hana uzoefu wowote.
Off side zingine utafikiri marefa wa kibongo....That was a clear goal
Kweli kabisa....Martial sijui anafanya nini pale mbele.Hata kama timu inapitia kipindi kigumu lakini sio kupelekeshwa hivi na Aston Villa asee [emoji20][emoji20][emoji20].
Bora turudi championship tuanze upya, kuanza upya sio ujinga.
Asernal na Man U wameonyesha upendo wa ajabu sana msimu huu,wenye kuelewa nadhani wamenielewa namaanisha nini.Mkaona kwann Arsenal adraw mwenyewe wakati sisi ni ndugu? [emoji16][emoji16]