Ovyo kabisaKila kitu United ni majanga, hakuna kwenye afadhali..sio kocha, menejiment na funga kazi kikosi.
Nyumbu anakufa hukuHA HAAAA MTANGAZAJI ANASEMA DA GEA KAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MARTIAL [emoji38][emoji38]
Kwa hiyo tukusaidie nini sisi.HA HAAAA MTANGAZAJI ANASEMA DA GEA KAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MARTIAL [emoji38][emoji38]
HahahaMkuu kwa heshima na taadhima tunaomba msimamo wa ligi tafadhali.
Tafadhali...
Akifungwa haleti [emoji23] [emoji23] akiongoza hata goli moja unaona kila thread picha ya msimamoTunaomba msimamo wa ligi
Tuletee msimamoMbona Ole mgumu hivi kufanya sub [emoji35][emoji35] Brandon William anapigwa red ya pili muda sio mrefu. Ameelemewa kabisa.
Bodi isiposhtuka mapema, Huyu Ole atatumaliza nafasi ya 8 au hata 10. Hana mbinu kabisa
Duh [emoji849]
HA HAAAA MTANGAZAJI ANASEMA DA GEA KAGUSA MPIRA MARA NYINGI KULIKO MARTIAL [emoji38][emoji38]
anza chap kupanda juu ya ngaziUnited akishinda leo nalala juu ya bati