permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,328
- 15,036
Dalot sio mzito anaspeed mzuri tu kitu gani kinakufanya useme dalot mzito
Wale Pro-Mourinho mnaweza kuhamia Tottenham....
Nawaonea huruma Sana Tottenham tunaenda kupoteza promising talents ... Ni mara 100 wangemchukua King Kibadeni "Mputa" kuliko huyo mmakonde mweupe kutoka huko Chitoholi ya Ureno.
Nawakumbusha Tu Mou Vita Yangu Na Mou Imeanza Upyaaaaaaa.
Hahaha umekutana na Kibonde westham unajiona mjanja.. Westham tangu mwezi wa 9 tarehe 27 hajawahi kushinda mpaka leo ....Mourinho alipo tupo, kashaanza na ushindi maridadi kabisa! Kilichomshinda Pouchetino kuanzia msimu unaanza kimepata tiba.
HahahaHahaha umekutana na Kibonde westham unajiona mjanja.. Westham tangu mwezi wa 9 tarehe 27 hajawahi kushinda mpaka leo ....
Kwenye Epl table Yuko nafasi ya 16... Tena leo kidogo wachomoe betri.
Kwasababu mmeanza kujianika nawaomba muendelee kujianika hivyo hivyo ili Hary Kane atakapoanza kucheza Beki Wa kulia muwe mnaona kwa macho.
Kwani timu zilizokuwa zinamzuia Tottenham kushinda ndio hizo zinazoongoza ligi? hata akicheza kama golikipa kinachohitajika ni points tatu, kama watu wanachomoa betri kwa pep kuna shida wakichomoa kwa special one?!Hahaha umekutana na Kibonde westham unajiona mjanja.. Westham tangu mwezi wa 9 tarehe 27 hajawahi kushinda mpaka leo ....
Kwenye Epl table Yuko nafasi ya 16... Tena leo kidogo wachomoe betri.
Kwasababu mmeanza kujianika nawaomba muendelee kujianika hivyo hivyo ili Hary Kane atakapoanza kucheza Beki Wa kulia muwe mnaona kwa macho.
Naona akili zinaanza kukurudia sasa... Kwa justification yako kumbe unaamini Huyo kocha si lolote Bora Pep , Sio?Kwani timu zilizokuwa zinamzuia Tottenham kushinda ndio hizo zinazoongoza ligi? hata akicheza kama golikipa kinachohitajika ni points tatu, kama watu wanachomoa betri kwa pep kuna shida wakichomoa kwa special one?!
Mpaka January ratiba ya huyo mmakonde iko hivoKwani timu zilizokuwa zinamzuia Tottenham kushinda ndio hizo zinazoongoza ligi? hata akicheza kama golikipa kinachohitajika ni points tatu, kama watu wanachomoa betri kwa pep kuna shida wakichomoa kwa special one?!
vs ASTON VILLA alipokuwa akichezea Southampton.Hii ya mane alipiga kwenye mechi gani?
Naona akili zinaanza kukurudia sasa... Kwa justification yako kumbe unaamini Huyo kocha si lolote Bora Pep , Sio?
@Tutaelewana Tu
Sioni wa kumsumbua hapo, ratiba ya vipigo mfululizo ndio imeanza rasmi.Mpaka January ratiba ya huyo mmakonde iko hivoView attachment 1270401
SawaSioni wa kumsumbua hapo, ratiba ya vipigo mfululizo ndio imeanza rasmi.
Sioni wa kumsumbua hapo, ratiba ya vipigo mfululizo ndio imeanza rasmi.
The special one
Sasa mpira wao wa speed mbona hawakupata ushindi wa away toka january??..Mourinho kawapa leoMashabiki wa Spurs wameshaanza kulalamika kwamba Mourinho amefanya mpira uwe slow leo. Nafikiri wanamuonea Mou ngoja tusubiri mwaka mpya.
Ndo mana hawashindagi makombe kwa hii mentality.Sasa mpira wao wa speed mbona hawakupata ushindi wa away toka january??..Mourinho kawapa leo
Nipo nawewe popote utakapoenda
Nendeni kwenye jukwaa lenu hapa ni Man united siyo ze special one
Nendeni kwenye jukwaa lenu la TottenhamNipo nawewe popote utakapoenda
Mkuu hivi hujawasoma Wadau wa JF, wakitaka kujadili soka la Ulaya wanakuja hapa, kwenye majukwaa yao mijadala hainogi
Katika hizo rekodi mi naona hiyo ndo rahisi kuvunjwa mtu akikusudia kuivunja inavunjika tu kuliko hizo nyinginehii haijikuvunjwa mkuu hata mipira iliyopotea njia bahati mbaya ilikua haimpati.alikua anakaba njia tu