Sasa unataka atulie sehemu moja uwanjani wakati mpira unatembea ?
Why not Fosu Mensah au Matic ?
Na Dalot uwezo wake wa kukaba ni mdogo pia ingawa anaweza kwenda mbele. Nadhani ole anaweza kumjenga Wan akawa fresh tu kwenye kufanya attacking maana kudefend sina shida nae kabisa.
Dalot sio mzito anaspeed mzuri tu kitu gani kinakufanya useme dalot mzito
Wale Pro-Mourinho mnaweza kuhamia Tottenham....
Nawaonea huruma Sana Tottenham tunaenda kupoteza promising talents ... Ni mara 100 wangemchukua King Kibadeni "Mputa" kuliko huyo mmakonde mweupe kutoka huko Chitoholi ya Ureno.
Nawakumbusha Tu Mou Vita Yangu Na Mou Imeanza Upyaaaaaaa.
Utakuwa ni uwendawazimuFukuza ole, weka hata carrick potelea mbali!
Dalot sio mzito anaspeed mzuri tu kitu gani kinakufanya useme dalot mzito
Wale Pro-Mourinho mnaweza kuhamia Tottenham....
Nawaonea huruma Sana Tottenham tunaenda kupoteza promising talents ... Ni mara 100 wangemchukua King Kibadeni "Mputa" kuliko huyo mmakonde mweupe kutoka huko Chitoholi ya Ureno.
Nawakumbusha Tu Mou Vita Yangu Na Mou Imeanza Upyaaaaaaa.
Hahahaha mkuu una kumbukumbu eeehHahaaa nakumbuka ile siku Mau aliondoka utd ulifurahi sana
dakika 90 bila ya kugusa mpira inawezekana vipi.Hiyo ya Messi inaweza kuvunjwa na Erling Braut Haaland msimu huu.
Mpaka sasa kacheza mechi 16 kafunga magoli 28 katika mashindano yote na hapo baadhi ya mechi alicheza dakika 20 tu kama mechi Liverpool na Salzburg
dakika 90 bila ya kugusa mpira inawezekana vipi.
jamaa alikuwa anasinzia uwanjani?
dakika 90 bila ya kugusa mpira inawezekana vipi.
jamaa alikuwa anasinzia uwanjani?
Hii ya mane alipiga kwenye mechi gani?
So wanaongoza hao wanataka Nini.Mashabiki wa Spurs wameshaanza kulalamika kwamba Mourinho amefanya mpira uwe slow leo. Nafikiri wanamuonea Mou ngoja tusubiri mwaka mpya.