kwa michuano ya ligi kuu mchezaji muhimu zaidi aliyerudi ni luke shaw.
hao wengineo watacheza europe league na carabao cup
Hao wote uliowataja wapo katika mazungumzo na klabu juu ya kubotesha kandarasi zao,Halafu Tobby na Jan wapo kwenye 30's na mikataba yao inaisha msimu huu
Kuna sehemu nimesoma, wanamkejeli Jose
Eti, Akiwa United aligombana na Ed ili amlete Tobby United, lakini eti alivyoenda Spurs atemcehezesha Ndombele kama beki wa kati na kumwacha Tobby benchi
Rashford kamzidi uwezo Tammy Abraham??!!
Basi nafasi ya Scot inabidi acheze Axel Tuanzebe
scott ameumia?
Ndiyoscott ameumia?
Hawa wote wanatakiwa kupigwa bei kasoro Luke shaw
Jipeni moyo,
Mou wa sasa sio yule mliomzoea katika ufundishaji wa timu......suala la young players subiri tu utaona anavyowapandisha.....
Mwanaharakati mwenzangu naona tayari poch amejaa hapo juuscott ameumia?
kwa michuano ya ligi kuu mchezaji muhimu zaidi aliyerudi ni luke shaw.
hao wengineo watacheza europe league na carabao cup
Kipa mwenyewe hatulii sehemu moja..wewe unataka kiungo atulie sehemu moja!!..InterestingFred bado hajatulia ana wenge sana hatulii sehem moja uwanjani
kwa michuano ya ligi kuu mchezaji muhimu zaidi aliyerudi ni luke shaw.
hao wengineo watacheza europe league na carabao cup
tupo pamoja mwanadamu ambaye miguu yake ilitengenezwa kwa vioo.
natumai wan ataufanyia kazi ushauri wako.
muda wa kujirekebisha bado anao kwa sababu ndio kwanza ana miaka 22.
Former United man Owen Hargreaves is an admirer of Wan-Bissaka’s superb tackling ability, yet the ex-England international is also keen for the youngster to develop his attacking contribution in terms of goals and assists.
View attachment 1268763
Na Dalot uwezo wake wa kukaba ni mdogo pia ingawa anaweza kwenda mbele. Nadhani ole anaweza kumjenga Wan akawa fresh tu kwenye kufanya attacking maana kudefend sina shida nae kabisa.Kama Dalot akiwa fit kuna uwezekano Wan Bissaka akachoma Mahindi bench.
Uwezo wake wa kupandisha timu ni mdogo mno sema kwenye ulinzi yuko vizuri sana
Na Dalot uwezo wake wa kukaba ni mdogo pia ingawa anaweza kwenda mbele. Nadhani ole anaweza kumjenga Wan akawa fresh tu kwenye kufanya attacking maana kudefend sina shida nae kabisa.
Uzuri wake Zonal marking yuko vizuri ndiyo maana pamoja na kwamba anashambulia sana bado anaweza kufanya zonal marking vizuri kuliko Bissaka ambaye yuko vizuri kwenye one against one situation tu.
Ndiyo maana Mourinho alimprefer Dalot kwa sababu Mou anaprefer Zonal marking kuliko one against one, kwangu mimi naamini Dalot akiwa fit Bissaka atachoma mahindi.
Dalot sio mzito anaspeed mzuri tu kitu gani kinakufanya useme dalot mzitoDalot nilimwona anaweza kuwa winga kama akijengwa tatizo ni mzito sana
Mara nyingi wachezaji wasio na nguvu huwa na akili nyingi sana uwanjani pace anayo lakini siyo kama DJ.Dalot nilimwona anaweza kuwa winga kama akijengwa tatizo ni mzito sana
KiUmri wa Giroud wako rika moja na Tammy?
Rashford mshahara pauni laki mbili ila mechi nne goli moja nenda Real na Barca clubs ambazo at times huwa wanawazidi mapato tuangalie striker anaechukua hiyo £200k anafunga magoli mangapi kwa msimu