Transfer News
Haaland ai-follow Twitter account ya Manchester Utd na Twitter account ya Rashford
Wachambuzi wa mambo wanaamini hii ni hint ya yeye kuhamia United
Kwamba itakuwa ni January au summer, bado hilo ni swali ambalo halijapata majibu
Kuna taarifa kuwa baba yake hana alitembelea Carrington.
Wakiamua kuspend bigger kwenye usajili, hawatajuta.Spurs wanafanya mistake kubwa sanaView attachment 1267098
Kwanini mkuu ?Spurs wanafanya mistake kubwa sanaView attachment 1267098
Apa itabidi tuanze kuondoa zile goli za penati ..ok apo tutakuwa sawa!Rashford goli 6 assist 1 kwenye mechi 6 zilizopita. So far michuano yote goli 11 na Assist 4.
Ollachuga Oc
Tunafanya makubaliano mapyaOllachuga ana taarifa kwamba Rashy katupia tena?
Pobga 10 awezi wewe.Mi mwenyewe nafikir hivyo hivyo pereira ampishe pogba kidogo fred na scott wabak palepale pogba apewe 10
Mchukueni Pochettihno ..uyu Ole Sendeka awapeleki popoteSpurs wanafanya mistake kubwa sanaView attachment 1267098
Apa itabidi tuanze kuondoa zile goli za penati ..ok apo tutakuwa sawa!
Tukitembea na EPL tu ana goal 5/6 uko penati kama tatu ivi zinahusika.
Anaweza akafikisha izo goli 15 kweny Kwa kupitia michuano mingine mf Europa, carabao..lakin EPL akabaki apo apo goli 6.
Ivyo magoli ya EPL ndo muhimu zaidi ..
Ila msimamo uko pale pale ..hafikishi goli 15 mkuu..
Akifikisha mimi najipiga ban kunye hili jukwaa hadi msimu mpya wa 20/21..
Dah ila naona kama anaeza fikisha aise Chief-Mkwawa kwa nini tusilegeze kidogo aise
Labuda tufanye EPL tu
Kila la kheri Chelsea

Naona BBC SPORT wanadai Jose atua Spurs
Ni kweli Jose' katuwa North LondonNaona BBC SPORT wanadai Jose atua Spurs
I could like this comment 7times, kama ingekua inawezekanaWakuu EPL inaenda kuwa fire sana tena sana...... Tuliofatilia kauli kazaa za Mou alisema mpaka apate timu yenye project bora....... So Mou atakuwa huru kuleta wale weusi wale pale spurs itakuwa shida sana.......
All in all Pochettino ni mzuri sana, sema tu baadhi ya mambo yalimfelisha usajili ikiwa sababu kuu.....