Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Waache usenge
 
Hongereni kwa Ushindi jana Klopp alimzidi Guardiola kwa kila kitu uwanjani.

Nilipoona Guardiola kaja kwa 4 3 3 na beki zake vilema nikajua game ilishaisha 3 point tatu kwa Liverpool.
Hahahahahahahahah Beki vilema
 
Bro yule dg anapiga kweli kunagame nimewahi mcheck kwenye timu yake ya taifa alifunga goli 9 peke yake
 
Hiv unawezaji kulaumu striker kwa timu isiyokuwa na kiungo wa uhakika wa kutengeneza nafasi? Shukur Mungu martial walau ansaidia timu wakina di maria na umwamba wao wamekimbia hapo
 
Hiv unawezaji kulaumu striker kwa timu isiyokuwa na kiungo wa uhakika wa kutengeneza nafasi? Shukur Mungu martial walau ansaidia timu wakina di maria na umwamba wao wamekimbia hapo
January Ole avunje account amlete James Madsson wa Leicester city asaidie kiungo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…