Huyu Williams anaweza kuwa fullback mzuri kama Waingereza awajamualjmu. Martial abadilike acheze kiushambuliaji ajitume aongeza speed kama sio hivyo atapata taabu sana kufunga kama mechi ya leo rahisi sana
Dah yaan man yuu tumekuwa na maisha yasiyo na uhakika. Hatujui tutashinda lini na tutafungwa lini...e.g Leo nilijua tufungwa cheki Sasa tutashinda hahaha
Kila mwaka kunzia tarehe moja mpaka 11 ya november, Uk huwakumbuka mashujaa wao, waliopigana kwa njia moja au nyingine mpaka sasa lipo taifa la uingereza. Sherehe hizo hufikia tamati tarehe 11 ya november kia mwaka. Ni sikukuu ya kukumbuka mashujaa kwa jina lingine.
Sherehe hizi huambatana na hako kaua kekundu (poppy leave) kama ishara ya mchango na pia ishara ya kuwakumbuka mashujaa hao kila mwaka.
Hivyo viua vinauzwa na mtu ukikinunua na kukivaa maana yake unaonwa na watu kama umetoa mchango kwa kukinunua. Timu nazo huweka alama ya hivyo viua kama ishara ya kuonyesha wamechangia nao n waatambua michango ya mashujaa hao ktk taifa hilo. Nafikiri nchi zote ambazo malkia ni mkuu wanaadhimisha hiì shughuli. Mfano canada.
Watu weusi sasa wale wanaotoka afrika hasa naijeria, akikinunua kiua mara moja shughuli ikiisha anakiweka ndani. Ukifika muda wala hanunui bali anachukua cha zamani n kukivaa kuzuga kanunua.