Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mimi sidhani kama Mike ana kosa.
Tatizo ni aina ya beki tuliyonayo sasa.

Evans na Rio siyo wa kutegemea kabisa.
Vida anarudi j5, Smalling na Jones wanaweza kumpa sapoti Vida. Ingawa pamoja na kuhitaji namba 6, tunahitaji namba 4 na 5 wa maana pia.

Tatizo hapa ni beki namba 4 (beki mkabaji) ndo hatuna kwa sasa, kazi ya beki 4 ni kucheza mipira yote ya hatari at first na ndo mana beki 4 huitwa dog figter, na kazi ya beki 5 ni kuclear na kucheza mipira ya hatari at second time baada ya beki 4 kupunguza makali ya hatari. Tatizo Evans na Rio wote ni mabeki 5 so lazima wachanganyane tu kozi wote si mabeki wakabaji.
 
Waamuzi wameibeba Reading timu ya Royal lile limevuka kabisa ingekuwa game timu kubwa kwa kubwa kusingekalika hii utaona haitoongelewa sana.

Hapa kina Wacha Viper kashengo et al., hawawezi kuongea pia. Lakini ingekuwa upande wa United, mapovu yangewatoka.
 

Attachments

  • 16c37dd07e1e6d88d2143e1211ce389f.jpg
    45.7 KB · Views: 19
Last edited by a moderator:

Ndiyo maana nimesema Vida akirudi, tatizo litaisha. Ingawa bado tutahitaji kuwa na mabeki wakali wa akiba.
 

Hamna timu mkuu Wacha utukutu bila brown envelopes na Jeshi la kukodi chijui mngekuwa wapi .. .. nyie ndio tunaita mashabiki koko HAMTAFIKA POPOTE MWAKA HUU ... .... TUTAPIGA HESABU MWEZI MAY .. ... .. KHE KHE KHE KHE KHE KHEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE

BTW ukiona Inzi wanaingia kwenye timu yako au kushabikia fahamu kuna uchafu na uvundo huko ndani ... ... .. ... ..
 
Nasikia mnabebwa na mbeleko bahasha zinafanya kazi na mzee Fungie .. .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Naona bado una hangover ya Michuuuuuuu.
 

Attachments

  • cc315bc9024a692758305fdf33042485.jpg
    30.9 KB · Views: 19
  • a81c00f364bf93775dac1b0aa16c8b7c.jpg
    22.5 KB · Views: 16
Nasikia mnabebwa na mbeleko bahasha zinafanya kazi na mzee Fungie .. .. khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


Michu!!! Michu!! Leo lazima umuote huyu mtu na utaweweseka sana shabiki wa timu ya vilaza.Hakuna bahasha wala barua.
 

Bila shaka malaria yamekupanda kichwani, kwa kifupi ili timu iwe kwenye nafasi nzuri ya kushinda ubingwa lazima first round imalize ikiwa na point 40 au zaidi na hadi sasa uwezo wa arsenal kufikia hizo point ni ndoto nyi subirini may mhesabiane point na Tot za nafasi ya 4 au 5 huko
 

Chifu, mbona unakuwa na akili kama haka kamnyama.
 

Attachments

  • bbc4e96bc47212b5fc3de4069b96daa5.jpg
    30.9 KB · Views: 20
Kawaida yao ndio njia pekee ya wao kujifariji

Tujifariji ki vipi? Mbona mnasahau mapema, mwaka jana mlikuwa mnamsema Judas vibaya na mwaka huu mnamtukuza chacha wakujifariji ni nani kama sio nyinyi ambao mnategemea bahasha zaidi?

Leteni matokeo basi ya kabumbu lenu ... .. . ... naona Belo hana raha pale pressure inapanda na kushuka anachubiri kipenga cha mwisho .. ... wapi scores damn it! Au mnacheza netball leo?
 

Attachments

  • 0d9edce430b996beafc1fdf52787eb9c.jpg
    35.5 KB · Views: 19
  • 4334f02a76d8f25c4c307baf437f7d77.jpg
    31.7 KB · Views: 20
  • 7be4990cb30068e680faccf654c8d62f.jpg
    45.2 KB · Views: 18
  • 5b3dcf312aed27383a6a5e85e5b56788.jpg
    26.7 KB · Views: 17

Mnamwota bado?
 

Attachments

  • 2fbabbc40da1302c00749f8b459a7edb.jpg
    12.5 KB · Views: 25
Tupeni matokeo bana wacha neni na utukutu, huku kwetu wamekata umeme khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…