Timu zao zinapomilikiwa huwa wana vipengele vyao vya Kumzuia Mmiliki kufanya Maamuzi anayoyataka mwenyewe.
Hata Liverpool ilikuwa ikimilikiwa na Wamarekani (Gillet) lakini alizuiwa Mahakamani Kutokuiuza au kumuuzia anayemtaka yeye! Bali alitakiwa Kuuziwa yule Waingereza waliyemtaka wao.
Kwahiyo na hao Wamarekani wa Manchester usidhani wamepewa Mamlaka ya Kufanya Maamuzi wanayoyataka.
Hizi timu zina wenyewe nje ya Umiliki.
NOTE: Tusijefukua Makaburi sijasema Kuwa Manchester haiwezi kuuzwa kwa Waarabu
Tatizo la Manchester United kupiga pass za makadirio imekuwa shida. Linderolf na Bisaka sielewi wanachokifanya ila kama wakiendelea hivi kidogo kuna matumaini ya kubadilika huko mbeleni
Tatizo la Manchester United kupiga pass za makadirio imekuwa shida. Linderolf na Bisaka sielewi wanachokifanya ila kama wakiendelea hivi kidogo kuna matumaini ya kubadilika huko mbeleni