Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuna mambo mengi ya kufanya, zaidi kuja kufukua ramli chonganishi kama hizi

Ndio maana kuna upupu mwingi tu uliandikwa humu kuhusu United kupigwa nyingi na Liver lakini hatuna muda kuufukua
Manchester United niliyoiona juzi ni mbovu kwelikweli kuliko niliyoiona msimu uliopita

Namuona Guardiola akiwapiga 4+ mwenye uwezo aje kufukua hii comment jamani siku ikifika
 
Kuna kitu nakiona kwenye miguu na moyo wa Pereira ila sikioni kichwani mwake.

Tatizo la Pereira ni kuendelea kuishi utoto wake katika utu uzima wake.
 
Tuna mambo mengi ya kufanya, zaidi kuja kufukua ramli chonganishi kama hizi

Ndio maana kuna upupu mwingi tu uliandikwa humu kuhusu United kupigwa nyingi na Liver lakini hatuna muda kuufukua
Nne zinawahusu kwa Guardiola

Nitakuja kufukua mwenyewe
 
Sasa kwa ubovu huu Guardiola anawaachaje?

Hata moja la kufutia machozi sidhani kama mtapata kwa jinsi timu ilivyokuwa mbovu. Mechi ya MUNLIV niliiona kabla na niliyoyasema kuhusu hiyo mechi kafukue Post zangu prior to the match

Umeona formation ambayo Guardiola aliwapelekea Crystal Palace pale kwao Selhurst Park? Sasa nne mnaponaje kwa mfano na tena mnakutana na Kevin Debruyne yupo katika form ?

Naongea hivi nikirefer ubovu wenu sasa hivi
 
Yaani chelsea arsenal na Liverpool tunapata matokeo khalafu tunafungwa na Newcastle wolves na crystal palace hapo ndipo pananichanganya
 
Tukikutana na timu inayopaki bus lazima tustruggle kwa sababu hatuna key striker
Yaani chelsea arsenal na Liverpool tunapata matokeo khalafu tunafungwa na Newcastle wolves na crystal palace hapo ndipo pananichanganya
 
Manchester United niliyoiona juzi ni mbovu kwelikweli kuliko niliyoiona msimu uliopita

Namuona Guardiola akiwapiga 4+ mwenye uwezo aje kufukua hii comment jamani siku ikifika
Hayo Maneno yalianzaa kwa Chelsea, ikaja Leicester, ikaja Arsenal alafu Liver then mnahamia Man City. Her funny!!
 
Hivi Man. Utd kuliko kutoa pesa kwa Mandzukic si bora tuchukue Lewandowski maana kila kukicha huyu mzee lazima afumanie nyavu. Ktk umri wa miaka 31 ni mzuri sana akija pale OT anakaa pale kati alf wale watoto pembeni naimani itakuwa hatari sana yule Rashford mzuri sana akitokea pembeni. Huyu mzee ana mkataba hadi June 2023 ila tukivunja kibubu anaweza tua kutupa support. Akifikisha miaka 33 naimani itakuwa tushapata striker mwingine mdogo labda msimu ujao tunaleta kachalii kanaanza kupiga vi-carabao vile mwisho wa siku Lewandowski anasepa anaingia mtu mpyaaa.
Hii barua sijui Solskjær na Ed-Woodward wataiona!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…