Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,319
- 201,540
Naomba msimamo wa EPL
Najua haya matokeo hukuyategemea kabisa mkuu, pole sana. Hata mimi sikutegemea, naona unavyoumia. |
So what ?Dakika ya 85, United 1-0 Liverpool
Rashford out, Phil Jones in
Full Time, United 1-0 Liverpool
That's why, I absolutely respect Jose
Jose mourinho juzi kasema alilazimika kumsajili fred baada ya kushindwana na ed kuhusu kupata kiungo wa kusaidiana na pogba alikuwa anatoka kapa akaona bora amchukue tu kwa kuwa ilikuwa rahisi kumpata ila hakuwa chaguo lake na ndio maana alikuwa akimuweka bench had hapo itokee shida ya viungo kuna muda alimchezesha scott na kumuacha fred makocha wana siri kubwa sanaFred ni tatizo ni shida kubwaaaaaa...hakuna sub pumbaf sana.
Dah nilitegemea mshinde mumeniangusha sana
Najua haya matokeo hukuyategemea kabisa mkuu, pole sana.
Hata mimi sikutegemea, naona unavyoumia.
So what ?
√Perreira ana energy lakini anakosa akili na anachoka mapema..
√James kagumu sana haka kadogo
√All in all Liver ni wachumba tu wakija OT..nilijua tu tutaondoka na point na ubovu wetu
Nilijua tu hawa jamaa watatoa boko na Ole atabaki. |
Upande wangu sio kuzuia ushindi ni kufunga magoliBasically Tunahitaji changes sana kwenye Mentality na game passion ya wachezaji wetu haya yanayotokea ni marudio ya game ya Asno timu iko mbele lakini inashindwa kuzuia ushindi ndani ya dakika 5
Huyu bek ana bahat ya kuchezea timu yenye organization nzur liverpool napenda sana kiungo chao wagumu sana rahisi kuwalinda mabekVVD akilamba mchangaView attachment 1239503
Mimi nilisema Liver wakija OT ni kama wamenyeshewa..shot on target second half wameipata mwishoni kabisa..
Nilijua tu hawa jamaa watatoa boko na Ole atabaki.
Ushambuliaji tu ukiwa unaongoza mech unakuwa na faida ya kupata goli kirahisi maana timu iliyofungwa itahitaj kufunguka kuchomoa maana unakuwa ushaharibu plan yaoMmekwama wapi leo
Sure,,hauwezi ukategemea ufunge kagoli kamoja then uanze kukalinda..huu ni upumbavuUpande wangu sio kuzuia ushindi ni kufunga magoli
Kama unafunga goli 2+ unashindwaje kushinda mech?
Msimu wa kwanza wa jose alikuwa akifunga ki goli kimoja anarud kuzuia watu wanachomoa dakika ya 88 mech inaisha kati
Dawa ni kutafuta wachezaj wa 3 wa mbele wa maana
Leo liverpool kapata goli moja mech ijayao mtu atakula 3 lakin sisi huenda tukaenda 0-0
Liverpool alicheza na Redbull sulzbug angalia goli zilivyofungwa
Narudia suluhisho ni ushambuliaji tu
MkuuUpande wangu sio kuzuia ushindi ni kufunga magoli
Kama unafunga goli 2+ unashindwaje kushinda mech?
Msimu wa kwanza wa jose alikuwa akifunga ki goli kimoja anarud kuzuia watu wanachomoa dakika ya 88 mech inaisha kati
Dawa ni kutafuta wachezaj wa 3 wa mbele wa maana
Leo liverpool kapata goli moja mech ijayao mtu atakula 3 lakin sisi huenda tukaenda 0-0
Liverpool alicheza na Redbull sulzbug angalia goli zilivyofungwa
Mkuu anakosekana kiungo mshambuliaji, jamii ya Bruno
Narudia suluhisho ni ushambuliaji tu
VVD akilamba mchangaView attachment 1239503