Hahahahahahah.......Vitu vingine tusipangiane kwa sababu hatusaidiani kununua Bando,Kwanini tupangiaane namna ya kutumia mitandao,Tusipangiane maisha kila mmoja afanye anachoona ni sahihi kwake ........ Unataka ushauri wa Manchester United kwa mashabiki wa Arsenal au Liverpool hahahahahahahahah Jishaurianeni wenyewe huo muda wa kuwapa ushauri sisi hatuna.