Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 16, 2019 #119,741 Man Utd 'close' to agreeing deal to replace Solskjaer with Allegri, say reports
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,585 Reaction score 2,666 Oct 16, 2019 #119,742 Aaron Arsenal said: Man Utd 'close' to agreeing deal to replace Solskjaer with Allegri, say reports Click to expand... We jamaa ni fa.la
Aaron Arsenal said: Man Utd 'close' to agreeing deal to replace Solskjaer with Allegri, say reports Click to expand... We jamaa ni fa.la
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 16, 2019 #119,743 Babumawe said: We jamaa ni fa.la Click to expand... Nimekosea nn
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,585 Reaction score 2,666 Oct 16, 2019 #119,744 Aaron Arsenal said: Nimekosea nn Click to expand... Leta habari usilete udaku
radika JF-Expert Member Joined Jul 15, 2014 Posts 20,450 Reaction score 32,290 Oct 16, 2019 #119,745 Cash Money Forever said: Hata makocha 3 (Allegri + Morinyo + Acceloti) waajirie kwa pamoja kufundisha utd hawawezi kuirudisha man u kileleni otherwise wauze hizo takataka zote wasajili wachezaji wapya wakuanza nao Click to expand... Unamzungumzia mourinho alieshinda europa na kashika nafasi ya pili ligi kuu ya uingereza au? Mourinho peke yake aliiweza united isipokuwa bodi haina watu wa mpira
Cash Money Forever said: Hata makocha 3 (Allegri + Morinyo + Acceloti) waajirie kwa pamoja kufundisha utd hawawezi kuirudisha man u kileleni otherwise wauze hizo takataka zote wasajili wachezaji wapya wakuanza nao Click to expand... Unamzungumzia mourinho alieshinda europa na kashika nafasi ya pili ligi kuu ya uingereza au? Mourinho peke yake aliiweza united isipokuwa bodi haina watu wa mpira
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,429 Oct 16, 2019 #119,746 Sanchez atakua nje ya uwanja for 3 months..hadi next year 2020, kapata ankle injury kwenye IB Sanchez atundike viatu tuu.
Sanchez atakua nje ya uwanja for 3 months..hadi next year 2020, kapata ankle injury kwenye IB Sanchez atundike viatu tuu.
The Humble Dreamer JF-Expert Member Joined Oct 12, 2015 Posts 8,011 Reaction score 11,429 Oct 16, 2019 #119,747 Babumawe said: Leta habari usilete udaku Click to expand... Huyu lengo lake anataka united ipoteane tu..ndy anafurah
Babumawe said: Leta habari usilete udaku Click to expand... Huyu lengo lake anataka united ipoteane tu..ndy anafurah
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 16, 2019 #119,748 Babumawe said: Leta habari usilete udaku Click to expand... Kwan umejuaje ni udaku,ikiwa nimeweka na source, hebu acha wenge
Babumawe said: Leta habari usilete udaku Click to expand... Kwan umejuaje ni udaku,ikiwa nimeweka na source, hebu acha wenge
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 16, 2019 #119,749 Honestty said: Huyu lengo lake anataka united ipoteane tu..ndy anafurah Click to expand... Polen man u BREAKING: Manchester United duo Paul Pogba and David de Gea have been ruled out of Sunday's match against Liverpool. Sky sport news understand
Honestty said: Huyu lengo lake anataka united ipoteane tu..ndy anafurah Click to expand... Polen man u BREAKING: Manchester United duo Paul Pogba and David de Gea have been ruled out of Sunday's match against Liverpool. Sky sport news understand
Ladder 49 JF-Expert Member Joined Dec 19, 2017 Posts 8,069 Reaction score 20,330 Oct 16, 2019 #119,750
M MlimaSayuni JF-Expert Member Joined Mar 23, 2013 Posts 6,546 Reaction score 11,660 Oct 16, 2019 #119,751 radika said: Unamzungumzia mourinho alieshinda europa na kashika nafasi ya pili ligi kuu ya uingereza au? Mourinho peke yake aliiweza united isipokuwa bodi haina watu wa mpira Click to expand... Bodi na hizo takataka, team yenu inahitaji reforms
radika said: Unamzungumzia mourinho alieshinda europa na kashika nafasi ya pili ligi kuu ya uingereza au? Mourinho peke yake aliiweza united isipokuwa bodi haina watu wa mpira Click to expand... Bodi na hizo takataka, team yenu inahitaji reforms
Babumawe JF-Expert Member Joined Sep 12, 2014 Posts 2,585 Reaction score 2,666 Oct 16, 2019 #119,752 Aaron Arsenal said: Kwan umejuaje ni udaku,ikiwa nimeweka na source, hebu acha wenge Click to expand... Usituletee source za udaku sie hatuna shida nazo uishie nazo hukohuko jukwaa lenu
Aaron Arsenal said: Kwan umejuaje ni udaku,ikiwa nimeweka na source, hebu acha wenge Click to expand... Usituletee source za udaku sie hatuna shida nazo uishie nazo hukohuko jukwaa lenu
EZZ CHEZZ JF-Expert Member Joined Apr 10, 2011 Posts 1,230 Reaction score 1,356 Oct 16, 2019 #119,753 4-3-3 inahitaji wachezaji waliokamilika katika kila nafasi. United haina wachezaji wa kaliba hiyo. radika said: hata mourinho 4-2-3-1 ilimzamisha sijui kwa nini hawapend 4-3-3 wasajili tu viungo wa maana warudi ktk huo mfumo Click to expand...
4-3-3 inahitaji wachezaji waliokamilika katika kila nafasi. United haina wachezaji wa kaliba hiyo. radika said: hata mourinho 4-2-3-1 ilimzamisha sijui kwa nini hawapend 4-3-3 wasajili tu viungo wa maana warudi ktk huo mfumo Click to expand...
rikiboy JF-Expert Member Joined Feb 19, 2017 Posts 22,165 Reaction score 43,854 Oct 16, 2019 #119,754 Oyaa mabaharia kikundi chetu cha wahuni kina mipango gani???Au ndo futuhi cup inatupa moyoo
king otaligamba JF-Expert Member Joined Oct 24, 2016 Posts 2,178 Reaction score 2,038 Oct 16, 2019 #119,755 20/October
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 16, 2019 #119,756 Babumawe said: Usituletee source za udaku sie hatuna shida nazo uishie nazo hukohuko jukwaa lenu Click to expand... Usinipangie
Babumawe said: Usituletee source za udaku sie hatuna shida nazo uishie nazo hukohuko jukwaa lenu Click to expand... Usinipangie
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Oct 16, 2019 #119,757 It's another clean sweep for Liverpool in our combined XI, this time chosen by Jose Enrique! Disagree? Let us know below...
It's another clean sweep for Liverpool in our combined XI, this time chosen by Jose Enrique! Disagree? Let us know below...
OllaChuga Oc JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 21,933 Reaction score 25,245 Oct 16, 2019 #119,758 Babumawe said: Usituletee source za udaku sie hatuna shida nazo uishie nazo hukohuko jukwaa lenu Click to expand... Hahahaha aise mbona kibabe ivo
Babumawe said: Usituletee source za udaku sie hatuna shida nazo uishie nazo hukohuko jukwaa lenu Click to expand... Hahahaha aise mbona kibabe ivo
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Oct 17, 2019 #119,759 Ladder 49 said: View attachment 1235411 Click to expand... Kuna kila dalili goli 5 mtu atafungwa.
Al Watani JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 21,697 Reaction score 32,447 Oct 17, 2019 #119,760 Hiyo game tutawadhalilisha liverpool pachanya said: Kuna kila dalili goli 5 mtu atafungwa. Click to expand...
Hiyo game tutawadhalilisha liverpool pachanya said: Kuna kila dalili goli 5 mtu atafungwa. Click to expand...