Na hilo dimbwi la wanoshuka daraja na sisi ndio tunalitaka waende huko na wakafie hukohuko chini.Poleni man u
Degea kaumia
Kuna uwezekano akaikosa Liverpool
Huyu jamaa uwepo wake mmekuwa mkipata hata droo
Akikosekana mwezi mmoja tu kuna uwezekano mkaingia Kwenye dimbwi la wanaoshuka daraja bila kupepesa macho.View attachment 1234528
De Gea..... Hahahahahahahahah kwisha habari yenu.......Kwishnei.
Hizi takwimu umezitoa wapi .....Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika mbali zaidi.Kwahyo kukosekana kwa de Gea ndo furaha kwenu!? Kuna uwezekano mkubwa tu akawepo hiyo game na hata asipokuwepo bado kuna mtu anaitwa ROMERO anamzidi ubora hadi kipa wako ALLISON wakati ROMERO akiwa na wastani wa 60% BECKER ana 53% tu. DE GEA ana 35%
Cheka sana, simulia sana, ila omba yasikukute. Mtatoka mmeinama pale OT.
Takwimu zipo kila mahali ukiigia PL website, Liverpool website, Man Utd website utazikuta kila kona utazikuta na uzuri namba hazidanganyiHizi takwimu umezitoa wapi .....Tuanzie hapo kwanza kabla hatujafika mbali zaidi.
Romero na De Gea vipi? Hawakai kwa Allison hapo?Matip OUT, Handerson OUT... Maguire IN, Pogba IN.View attachment 1234570
De Gea..... Hahahahahahahahah kwisha habari yenu.......Kwishnei.
De gea kapata injari???Naona unafurahia injury ya De Gea
Kapata ndiyoDe gea kapata injari???
unashindwa kuficha upuuzi wako
Si useme tu ana goli moja la penalty
James ana magoli matatu mazuri mno mkuu,na hapo timu yetu ni mbovu kiungo kimelegea,jiulize timu ingekuwa sawa si angekuwa messi hadi muda huu?
De gea kapata injari???
Dah sasa atadaka nani apo? Romeo au!! kama ni uyo uzoefu Si hana?!Kapata ndiyo
Hizi I.B zinaaribu mipango ya timu..lakini Romeo na yeye Si haba pengine anaeza improve zaid ya DegeaYeah kapata injury but kwenye goal keeping sina was was na Sergio Romero
Dah sasa atadaka nani apo? Romeo au!! kama ni uyo uzoefu Si hana?!
Utachekwa wewe au kwa kuwa liverpool kakuzibua unajikosha?Origi na uyo Rashid Si afadhali Origi..!!