Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ss imagine ndo angekua kwny hii team.. Si ndo wakina Sanchez au Di Maria?
Kwa hali ya Timu yetu Sasa Hivi bila wasiwasi nakubali di Maria na kiwango chake Cha era ya LVG na assist zake. Na ole mwenyewe anamhusudu Dybala hivyo pengine alikuwa na plan zake tofauti na kina Sanchez na Di Maria ambao walinunuliwa na Woodward.
 
KWA TAARIFA YENU:- OLE hatimuliwi makubaliano ni kwamba dirisha dogo january anasajili mastriker 2 na winga 1 na ahakikishe timu inamaliza top 4.
Mpaka timu ifike January hakuna sehemu hii timu itakuwa.

Hata akipewa wachezaji wote wazuri anaowataka, top 6 hana uwezo wa kuingia.

Itamaanisha ashinde mechi zote zilizobaki kitu ambacho hakiwezi na hata kaa aweze.
 
JANUARY

- Kane
- Mbappe
- Bruno
Hakuna mchezaji ananunulika hapa.

Hao wote hawanunuliwi.

Mtaletewa takataka za kingereza kina Longstaff kama mlivyoletewa kina Maguire, Bissaka na James. Ataendelea kuwapanga kina Rashford wake.

Hata akipewa timu nzima ya PSG au Juventus au Barca, tactis zake ni za hovyo, hakuna sehemu zitampeleka.
 
Ataenda kuokota takataka za kingereza kina Longstaff ndo wenye ndoto za kucheza United.
 
Akili za Championship.

Huyo striker wa Bournemouth amefunga magoli mangapi?
 
Ole ange resign, asisubiri afukuzwe.
 
Hata akipewa karne nzima. Sajili zake zinatia aibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…