The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,010
- 11,444
Dk 38 Rashford amegusa mpira mara mbili na offside mbili
Kwa timu hii hakuna la maana leo msimu huu tungekuwa na timu ubingwa ungetuhusu timu nyingi haziko vizuri
Unafurahisha kwelikweli.Leo man u anashinda goli 3
na mechi ya Liverpool akirudi pogba, martial, wan bisaka na shawa tunashinda gali mbili (2)