Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo man u anashinda goli 3
na mechi ya Liverpool akirudi pogba, martial, wan bisaka na shawa tunashinda gali mbili (2)
Hakuna clue ndugu yangu. Wachezaji hawajui cha kufanya.
 
Tukivuka nusu yetu tu,hatupigi pasi zaidi ya 2 mpira unaporwa.
Possession kubwa imetokana na back pass tu.
Sijui hata tunategemea nini toka kwenye hii game.
Ole walau kuamka kupiga kelele kuonyesha wanacheza kinyume na maelekezo yake au kubadilisha mbinu baada ya kuusoma mchezo, hakuna. Lakini kwenye interview utasikia "im so happy with the boys,we played real well with so much positivity and we are hoping to turn things around".
 
Kwa timu hii hakuna la maana leo msimu huu tungekuwa na timu ubingwa ungetuhusu timu nyingi haziko vizuri
 
Newcastle wana nia ya kushinda hii mechi, Man U tunapambania angalau mechi iishe droo
Hawa nao wabovu sana,wamekosa nafasi mbili bure kabisa.

Hivi Rashford yupo uwanjani?😂😂

Wachezaji wetu hawajiamini kabisa hapo kwenye kiungo,mabeki tena Maguire na Tuanzebe ndo wanaojiamini. Hii timu haina ile kiburi ya 'sisi ni MUFC'.

Timu ina mabeki watano kuifunga kwa mpira huu wa kizembe sio rahisi labda watumie cross,na mmaliziaji wa hizo cross sijui ni nani😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…