Fukuzeni kocha mapema UNAI hatawapeleka popote anawapotezea muda tu,Manchester hii inajichezea ovyo ovyo tu wanakimbia kimbia kama kuku aliyekatwa kichwa.Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu
Wakat ungekuwa unamshushia mitusi sasa hv. Emb muache bolingoli ale zake maisha huko milanKatika makosa mabaya yaliyofanyika 2019 ni kumuachia Lukaku. That guy ungekuwa mkombozi wetu mwaka huu.
Katika makosa mabaya yaliyofanyika 2019 ni kumuachia Lukaku. That guy ungekuwa mkombozi wetu mwaka huu.
Kuuzwa kwa Lukaku mimi sikuona tatizo,tatizo lilikuwa kumuuza ili kumuacha Rashford acheze bila kusumbuliwa. Hivi kocha mwenye akili anaweza kumtoa Lukaku ili Rashford atambe kweli?😂😂 Nilitegemea pesa yake ingeenda kununua #9 mwingine.😂 |
Mimi siamini kama refa anaweza kukosea kwa kiwango hiki, yaani mchezaji anaushika mpira kusudi zaidi ya Maramoja na atoi maamuzi!!Mechi imejaa magumashi sana hii
Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo.
Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo.
Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje
Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara.
Mimi siamini kama refa anaweza kukosea kwa kiwango hiki, yaani mchezaji anaushika mpira kusudi zaidi ya Maramoja na atoi maamuzi!!
Duh OGS mbona kocha mzuri tu ,tatizo hana wachezaji,
Huwa siwaelewi mnaosema Unai sio kocha,kama Unai sio kocha OGS ni nini? Si ndio atakuwa mvuvi kabisa?
Kuuzwa kwa Lukaku mimi sikuona tatizo,tatizo lilikuwa kumuuza ili kumuacha Rashford acheze bila kusumbuliwa. Hivi kocha mwenye akili anaweza kumtoa Lukaku ili Rashford atambe kweli?
Nilitegemea pesa yake ingeenda kununua #9 mwingine.
Hahahahahahahahah Si mmeshazoea kushinda kwa magoli ya Penalt,lazima ulalamike tu vinginevyo hakuna ushindi.VAR inaona za Arsenal tu, za United haioni
Penati za wazi kabisa
Duh OGS mbona kocha mzuri tu ,tatizo hana wachezaji,
Acha utani mkuu,kocha mzuri anaonekana hata akifundisha watoto. |
HahahahaMashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?
Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki
Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli
VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.
Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao
Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates
Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
Kuuzwa kwa Lukaku mimi sikuona tatizo,tatizo lilikuwa kumuuza ili kumuacha Rashford acheze bila kusumbuliwa. Hivi kocha mwenye akili anaweza kumtoa Lukaku ili Rashford atambe kweli?
Nilitegemea pesa yake ingeenda kununua #9 mwingine.
Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?
Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki
Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli
VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.
Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao
Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates
Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
Penalt za wizi sasa hivi hazipo,Yule muhuni wenu Howard Web ndio alikuwa amewazoesha hii tabia ya kuwatafutia vitu vya wizi Old Trafford,kila chenye mwanzo kina mwisho.Mashabiki wa Arsenal wanavyomsingizia kocha utafikiri kocha aliyepita alikuwa anashinda dhidi ya Man. Kocha aliyepita si ndio alipigwa 8?
Niliwambia kwamba, Arsenal ni kibonde wa United miaka nenda, rudi. Niliwambia kwamba timu inayofunguka inafungika kirahisi (au nafasi zinatengenezeka kirahisi) kuliko timu inayopaki
Bila kuzawadiwa assist na Tuanzebe, wasingepata hako kagoli
VAR imeona goli lao, imeshindwa kuona penati yetu.
Kiujumla Refa alijitahlhidi kuwa upande wao
Kama January tukisajili striker, tunaenda kushughulikia huyu Arsenal pale pale Emarates
Scot my man of the match na kwa Kipepe tumepigwa
Refarii wa leo alikuwa HATOSHI KABISA.
Ole kama ni kocha makini, Tuanzebe anapaswa kuanza pamoja na Maguire. Lindelof asubiri kwanza. Kama anashindwa kuachana na 4-2-3-1 yake basi hizo mbili akae Scott na Fred,Pogba asogee jjuu. Kama Martial atapona basi Rashford afukuzwe kabisa kwenye timu au awe muokota mipira pamoja na wale watoto,kama Ole anampenda sana basi awe mbeba koti lake. | |