BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 5,903 Reaction score 11,712 Sep 30, 2019 #118,301 OT ni geto la Amber Rutty kwa sasa
DonDonald JF-Expert Member Joined Feb 14, 2011 Posts 2,542 Reaction score 2,741 Sep 30, 2019 #118,302 Dah haya tunajikongoja hivyo hivyo taratibu Next Europa League
SteveMollel JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 8,803 Reaction score 25,444 Sep 30, 2019 #118,303 Yani walikutana leo Uswedi na Uswege.
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Sep 30, 2019 #118,304 Dahl! Record ya Mc Tominator ibaendelea, siku akifunga basi tuna draw. Hali ni mbaya mno, game 7 point 9. Hii hali inafikirisha sana.
Dahl! Record ya Mc Tominator ibaendelea, siku akifunga basi tuna draw. Hali ni mbaya mno, game 7 point 9. Hii hali inafikirisha sana.
tamuuuuu JF-Expert Member Joined Mar 10, 2014 Posts 22,191 Reaction score 29,749 Sep 30, 2019 #118,305 Hah ni vituko.Ngoja Man city tuje tuwakamate ninyi.Nitakula papuchi hizooo
rubaman JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 4,983 Reaction score 3,084 Sep 30, 2019 #118,306 Kati ya timu 2 mbovu na mechi mbaya Arsenal walicheza vizuri
redio JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 6,454 Reaction score 14,177 Sep 30, 2019 #118,307 iamnelsonblak said: Kwahiyo kumbe VAR kazi yake ni kucheki Offside tu ila sio Penalty! Click to expand... Rafa amefanya juhudi nyingi kuwabeba Arsenal yaani Matukio alikua anaangalia ya upande mmoja.
iamnelsonblak said: Kwahiyo kumbe VAR kazi yake ni kucheki Offside tu ila sio Penalty! Click to expand... Rafa amefanya juhudi nyingi kuwabeba Arsenal yaani Matukio alikua anaangalia ya upande mmoja.
Nemesis JF-Expert Member Joined Feb 13, 2008 Posts 5,536 Reaction score 4,532 Sep 30, 2019 #118,308 Katika makosa mabaya yaliyofanyika 2019 ni kumuachia Lukaku. That guy ungekuwa mkombozi wetu mwaka huu.
Katika makosa mabaya yaliyofanyika 2019 ni kumuachia Lukaku. That guy ungekuwa mkombozi wetu mwaka huu.
Mc cane JF-Expert Member Joined May 18, 2018 Posts 5,569 Reaction score 10,527 Sep 30, 2019 #118,309 VAR inaona za Arsenal tu, za United haioni Penati za wazi kabisa Nemesis said: Refer katunyima penalti VAR kumbe si lolote Click to expand...
VAR inaona za Arsenal tu, za United haioni Penati za wazi kabisa Nemesis said: Refer katunyima penalti VAR kumbe si lolote Click to expand...
interlacustrineregion JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 7,134 Reaction score 7,409 Sep 30, 2019 #118,310 Nimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah...
Penison JF-Expert Member Joined Nov 4, 2017 Posts 6,372 Reaction score 12,529 Sep 30, 2019 #118,311 Unaangalia mechi huku unacheka tu,fair results kabisa dah aibu sana
Penison JF-Expert Member Joined Nov 4, 2017 Posts 6,372 Reaction score 12,529 Sep 30, 2019 #118,312 interlacustrineregion said: Nimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah... Click to expand... Hahahahahahahahah ni mechi ya vituko
interlacustrineregion said: Nimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah... Click to expand... Hahahahahahahahah ni mechi ya vituko
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Sep 30, 2019 #118,313 interlacustrineregion said: Nimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah... Click to expand... Ila ww siulikula 4-0??
interlacustrineregion said: Nimejuta kupoteza usingizi kwa kuangalia mazoezi yaliyofanywa OT leo, ni bora ningelala tu daaah... Click to expand... Ila ww siulikula 4-0??
Aaron Arsenal JF-Expert Member Joined Jul 24, 2014 Posts 24,498 Reaction score 28,720 Sep 30, 2019 #118,314 Penison said: Unaangalia mechi huku unacheka tu,fair results kabisa dah aibu sana Click to expand... Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu
Penison said: Unaangalia mechi huku unacheka tu,fair results kabisa dah aibu sana Click to expand... Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Sep 30, 2019 #118,315 ze-dudu said: Hahahahaha daaah united yangu inaumaaaaa ila inabidi ucheke tu.... Click to expand... Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo. Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo. Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje😂😂 Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara.
ze-dudu said: Hahahahaha daaah united yangu inaumaaaaa ila inabidi ucheke tu.... Click to expand... Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo. Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo. Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje😂😂 Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara.
P pachanya JF-Expert Member Joined May 20, 2012 Posts 2,064 Reaction score 2,266 Oct 1, 2019 #118,316 redio said: Rafa amefanya juhudi nyingi kuwabeba Arsenal yaani Matukio alikua anaangalia ya upande mmoja. Click to expand... Daah mpira wote mbovu mliocheza na refa kachangia?
redio said: Rafa amefanya juhudi nyingi kuwabeba Arsenal yaani Matukio alikua anaangalia ya upande mmoja. Click to expand... Daah mpira wote mbovu mliocheza na refa kachangia?
interlacustrineregion JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 7,134 Reaction score 7,409 Oct 1, 2019 #118,317 Hakukuwa na mpira wowote leo zaidi ya mazoezi tu, kweli Man City na Liverpool wataendelea kusumbuana pekeyao epl hadi 2050...
Hakukuwa na mpira wowote leo zaidi ya mazoezi tu, kweli Man City na Liverpool wataendelea kusumbuana pekeyao epl hadi 2050...
Mr Devil JF-Expert Member Joined Jul 7, 2019 Posts 14,905 Reaction score 34,435 Oct 1, 2019 #118,318 naona nyota ya liverpool ya kipindi kile ime wavamia
lukesam JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 13,199 Reaction score 28,080 Oct 1, 2019 #118,319 Aaron Arsenal said: Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu Click to expand... Huwa siwaelewi mnaosema Unai sio kocha,kama Unai sio kocha OGS ni nini? Si ndio atakuwa mvuvi kabisa?😂😂
Aaron Arsenal said: Unai sio kocha, ila man u hakuna timu, unai kipind cha pili kawawekea vile vitoto,wanapuyanga tu Click to expand... Huwa siwaelewi mnaosema Unai sio kocha,kama Unai sio kocha OGS ni nini? Si ndio atakuwa mvuvi kabisa?😂😂
interlacustrineregion JF-Expert Member Joined Oct 28, 2018 Posts 7,134 Reaction score 7,409 Oct 1, 2019 #118,320 lukesam said: Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo. Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo. Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara. Click to expand... Sema haki ya nani bhana bhana, eeeh...
lukesam said: Hahaha,tunajenga timu mkuu.Timu inajengwa chini ya kocha asiyeweza hata kumsoma mpinzani na akabadili mchezo. Tunajengea timu chini ya kocha aliyeuza washambuliaji ili Rashford acheze kwa bila mawazo. Chelsea wakiangalia mechi zetu na wakikumbuka zile nne wanalia sana, timu haina mbinu hamna ubunifu kabisa,haya kona wakipata zinapigwa hadi nje Newcastle anatupiga na Liverpool anakuja kumaliza habari,Ole anatolewa kafara. Click to expand... Sema haki ya nani bhana bhana, eeeh...