The spider mgonjwa au vipi?? Dah kwanini fred asingekaa na toney halafu pogba angepiga 10 Lingard apumzike au ndo mtu mwenye hatari zake akiwa hana mpira
.
Ok ngoja tuone kikosi cha arsenal pia hakitishi kabisa hata sub hamna kitu. Ole Masai.
DonDonald Emery anaiga Mourinho tactics za kucheza defensive bila kuwa na wachezaji walio defensive minded na wasioweza kucounter. Sijui Ozil alimkosea nini.