Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu issue Ni kwamba Ed anataka yes Man, wamemu Approach van de sir Aje awe Dof wetu na akatutolea nje, sababu Ni ile ile anataka Uhuru akija football matters zote aachiwe yeye kitu ambacho Ed hataki.




Hivyo mkuu bila Hawa wamiliki kutoka tutasubiria Sana kuhusu Dof, Kama Fergie mwenyewe hasikilizwi ujue timu imetekwa.
 
Umri wake
Kweli hiki kifuta jasho.

Nimeona Honda ametuma maombi ya kuichezea MUFC bila malipo yoyote. Kwa aina ya wachezaji tulionao huyu si anatufaa kabisa
pia mambo ya Ole ya DNA huyu si ndio mwenyewe kabisa?
 
Huyu ni mchezaji niliamini sana angepewa nafasi msimu huu angetusaidia.

Kesho mkitufunga tunateremka chini vibaya sana.
Mm mpaka kesho naamini Sanchez bado ni hatari sana

Basi kuna mambo yalisababisha afeli hapo OT

MAANA kule Chile bado anafanya vzr

Leo Conte kaanza kumtumia dk 20 & 22 anaweka goli 2
 
Halafu kuna watu wanafananisha De Bruyne na kirusi Pogba
Watu wanaomlinganisha Pogba na KDB huwa wanaamini hata Pogba angekuwa hapo alipo KDB naye angetisha kama KDB. Wanaamini Pogba anaangushwa na aina ya wachezaji waliomzunguka😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…