Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Van Persie anatunyanyua mashabiki, goli la kwanza
 
aiseeeeeeee babaangu leo rahaaa 2 chadema wameshinda udiwani arusha na man u inagawa dozi yani raaaaaaaahaaaaaaaaa
 
Safi sana, naona leo vijana wanaleta raha mapema kabisa.
 
Idimi ahsante sana kwa updates, endelea kutiririsha mpambano wengine hatuna access na mpambano huo.
 
Last edited by a moderator:
Bila shaka ndg Mwita, narusha live bila chenga
 
man u kamata hao na bado gap la point 1 kuwashusha chini
 
Mwanangu De Gea ile Save inaitwa for the Camera na kumbuka Save zangu kama hizo magoli ya Mawe for the girls wanaopita tehteh.
 
Chelsea wanapata goli la kwanza.
 
Kwa jinsi walivyokulia wanashambulia katika dakika 10 zilizopita ingekuwa si haki kama wasingepata goli...Game la kukata na shoka
 
It doesn't MATA wether its a consolation goal or a wining goal...
Perfect finish counts!
 
Tunaendelea, ni kipindi cha pili, mpira mi mkali sn, Chelsea wanashambulia ile mbaya
 
Chelsea wamekata umeme, naona United wanautafuta kwa kibatari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…