Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tuna overlapping full back Dalot, je anatusaidia kiivyo?

Kuhusu Brandon nilianza kumfuatilia Baada ya OGS kumjumuisha kwenye kikosi kilichokwenda Paris (second leg dhidi ya PSG) msimu uliopita

Dogo ana overlap sana tu, haogopi, na yeye ni right footed left back. Amekuwa captain kwa kikosi cha U23 akiwa na miaka 18

Na huyu ndio dogo aliyefanya dogo O'Connor (new Oshea) mu Ireland mwenye miaka 19 anayecheza timu ya taifa kutimkia Celtic on permanent basis

Siwezi kutamba kwamba ninamjua sana, lakini so far ni mchezaji anayekuja vizuri.

Tahadhari. Sio madogo wote wanaokuja vizuri wanaishia kuwa wachezaji wazuri
 

Mimi huwa ninapoziona hoja aina hii "MKALI ASIPOKUWA NA MPIRA" huwa ninacheka sana na kujiuliza washabiki tunawaza nini?
 
Akiweza kucheza 6 atakuwa kama Kante πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
teh teh.
lingard ana skills halafu ana uwezo wa kutembea na mipira
fred ana skills na anaweza kutembea na mipira.
pogba hivyo hivyo.

nyuma tunalindwa na maguire
khofu ya nini?
utatu mtakatifu wa ukweli kuliko wa AC MILAN ya zamani.
Lingard kuwa nae kwenye timu ni sawa na kucheza pungufu tu

Hii timu imejifia kwa kweli zama zile had wakina diego forlan wanakosa namba wanasepa leo striker rashid mzee wa penat

Had muda huu yule dogo greenwood ana goli nyingi kuliko rashoord ktk huu mwez
 
Hahahahahahahahah
 
radika wewe tumeshakuzoea ni mshabiki wa kubadilika ovyo ovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…