Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu haina mwalimu hii, unaweza kuona tofauti yetu na hao madogo. Madogo wana mwalimu.​
Hapa ndipo mnaponiacha , maana sisi tuna kituko emery , Yaan kama hatuna kocha, ila nyie nashangaa mnasema pia hamna kocha , wakati mm naona , Ole ana wachezaji wakawaida wengi ndio tatizo kuu ,
 
Mihemko ya kumpa Ole timu itatumaliza😂😂

Timu inachezacheza tu hamna mipango. Hiyo Jumatatu Arsenal watatupigia kelele sana humu.
​
 
Hapa ndipo mnaponiacha , maana sisi tuna kituko emery , Yaan kama hatuna kocha, ila nyie nashangaa mnasema pia hamna kocha , wakati mm naona , Ole ana wachezaji wakawaida wengi ndio tatizo kuu ,
Unai ni mwalimu mzuri, mwalimu unaweza kumuona hata kama ana wachezaji wabovu vipi. Kama ulitazama game yetu na West ham unaweza kuona tofauti ya mwalimu na mhamasishaji.​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…