Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,481
- 27,185
Aliyetengeneza timu hakua Mou alikua Carlo Ancelot weka kumbukumbu vizuri mkuu
Hahahahahahahahah katika ambao huwa nawaonea huruma Manchester United ikifungwa ni wewe jamaa yangu unatiaga huruma sana.Jana tu ulijinasibu wewe sio mtu wa mipasho
Alikawa ni mkuu Radika huyo baadae Mc cane nae akajakumsaidia.Mimi sina kawaida hiyo lakini kuna mjamaa hapa alikuja kusumbua sana kule Home baada ya sisi kudonolewa na Napoli, Sasa namimi ninajifariji hapa kidogo.
Anyway sikusudii Mipasho bali hizi picha nimezikuta sehemu na nimezipenda sana nimeamua kuja kushare na wadau hapa
Then kaibuka Zidane kakuta Mou ameshatengeneza Timu yeye akafaidi Matunda bila ya Jasho! Sasahivi Timu inamtokea puani
rafiki yangu bwana klopp anazidi kukufanya ung'are kila jukwaa unalolitembelea.Hahahahahahahahah katika ambao huwa nawaonea huruma Manchester United ikifungwa ni wewe jamaa yangu unatiaga huruma sana.
Baada ya kueka kumbukumbu vizuri kama ulivyotaka ni kwamba sikumaanisha kuwa Mou aliitengeneza Real peke yake kama alivyotengeneza nyumba yake.
Nilichomaanisha ni kuwa Mourinho nayeye Ndiyo katika wahusika wakuu walioijenga Real madrid iliyompa mafaniko Zidane:
Miongoni Wachezaji waliosajiliwa na Mourinho at Real Madrid
1) ANGEL DI MARIA
2) MESUT OZIL
3) SAMI KHEDIRA
4) RAPHAEL VARANE
5) LUKA MODRIC
Hao ndiyo msingi wa Kutengenea kwa Timu ya Real kupitia Jose Mourinho
Ingawa wengine waliondoka lakini tayari Real ilikwisha tengenezeka
Jamaa ni mkweli, hajawah kucheza soka lolote la mafanikio, na alishasema wazi mambo ya mpira wa entertainment hana na Hawezi , yeye anachoangalia ni ushindi basi, mambo ya sjui ball possession hajali, Kwa sasa anahtaj timu yenye mkakati wa kuchukua makombe, Yani imejipanga kuchukua makombe na sio kumaliza sijui top 4 au six, zaidi ya hapo bora awe mtazamaji ...alivyo mjanja katulia Tu akijua ligi zikianza kuna makocha watasanda njiani na hapo ndo atakuwa more valuable.....usajili bora wa msimu huu ni jose mourinho.
sky sports wamefanya biashara nzuri sana japokuwa ni usajili wa mkopo.
namuangalia kupitia youtube video zake za zamani na za nyakati hizi akifanya kazi ya uchambuzi nimebaki natikisa kichwa kama mlevi.
wakati nakwenda real madrid ni wachezaji watatu tu ndio nimewakuta wameshawahi kucheza robo fainal ya champions league, xabi alonso from liverpool, iker casillas from real madrid and cristiano ronaldo from manchester united, that is football heritage.
miaka saba iliopita matokeo mabaya ya manchester city ndani ya premier league ni kushika nafasi ya nne, ndani ya miaka 7 hii wameshinda premier league mara nne, that is football heritage.
ukiiangalia hii video utagundua ya kwamba jose mourinho ni mwanadamu aliyejaaliwa phd ya soka, amekichafua sana humu ndani
jamaa alikuwa na madhaifu yake lakini hakuwahi kuwa mnafiki kwenye ukweli.
Mimi sina kawaida hiyo lakini kuna mjamaa hapa alikuja kusumbua sana kule Home baada ya sisi kudonolewa na Napoli, Sasa namimi ninajifariji hapa kidogo.
Anyway sikusudii Mipasho bali hizi picha nimezikuta sehemu na nimezipenda sana nimeamua kuja kushare na wadau hapa
Hahahahahahahahah katika ambao huwa nawaonea huruma Manchester United ikifungwa ni wewe jamaa yangu unatiaga huruma sana.
Alikawa ni mkuu Radika huyo baadae Mc cane nae akajakumsaidia.
Hahaha ivyo ndo jinsi alivyo mkuuJana tu ulijinasibu wewe sio mtu wa mipasho
Huu ni wakati wao bana ..acha Penison atambe unajua wamesota sana?rafiki yangu bwana klopp anazidi kukufanya ung'are kila jukwaa unalolitembelea.
hivi mdogo wako Ollachuga Oc ameshatoka usingizini?
Mpaka sasa jamaa anazidi kupanda thamani tuJamaa ni mkweli, hajawah kucheza soka lolote la mafanikio, na alishasema wazi mambo ya mpira wa entertainment hana na Hawezi , yeye anachoangalia ni ushindi basi, mambo ya sjui ball possession hajali, Kwa sasa anahtaj timu yenye mkakati wa kuchukua makombe, Yani imejipanga kuchukua makombe na sio kumaliza sijui top 4 au six, zaidi ya hapo bora awe mtazamaji ...alivyo mjanja katulia Tu akijua ligi zikianza kuna makocha watasanda njiani na hapo ndo atakuwa more valuable.....
Kwa iyo aseno nao wakitufunga atasema anaona positiveKuna watu wanaamini tunajenga team. Wengine wanaamini kuwa tuna wachezaji wanaowika Ulaya, kuna wengine wakitolea mfano kwa Fergie alivovuruga mwanzo na akafanikiwa kujenga empire na wanaamini Ole na yeye ndio njia yake.
Hao ni watu walioko usingizini. Team inawachezaji wa ovyo kabisa, haoa wanaodaiwa kuwika ulaya, out of manutd hawapati namba, na hapo walipo wanapata namba kwa sababu hakuna competition. Ole nae anasema anaona ile game ya jana ina positives, ataendelea kuimba nyimbo hio huku timu ikivuruga, hata akija Football director kama kocha ni OLE itakuwa ndio yale yale, jamaa aachie ngazi kiroho safi, hajui anafanya nini kwenye benchi la ufundi