Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You all so called real man utd fans deserve this.

Imagine sacking a real proven winner for this d*ckhead.
 
Hii timu ikimaliza nafasi nzuri ni 8 mpaka 10.. HATA 6 itatukosa.
 
Rashford striker asie na madhara nje ya mashambulizi ya kushtukiza

Kuna watu wakawa wanasema Rashford awekwe namba Tisa kuliko Martial
 
Hata mimi LVG simkubali sababu anazingatia ufundi sana (ni pure tactical coach) na haruhusu wachezaji kuji express

Hao uliowataja, baadhi kama Jordim anakaribia kupoteza kazi pale Monaco, Luis Enrique sio mzuri kivile maana alikuwa pale Roma na pale Barca alifanikiwa sababu ya structure aliyoikuta (management + wachezaji bora aliyowakuta). Hao makocha wengine sijawajua vizuri, lakini kuwaleta United itakuwa kama kufanya majaribio tu

Kiujumla pale United tatizo kubwa sio kocha, hii itakuwa mara ya 100 nasema tatizo ni management ya timu (board). United amebadili makocha wangapi tangu aondoke SAF, je kweli tatizo litakuwa ni kocha tu. Nakubaliana na Wadau kwamba makocha nao wana mapungufu yao lakini United hierarchy is a root of all troubles.
 
shida ni nini sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…