toka stoke city wamepanda daraja wakaingia premier league hawajawahi kuchukua hata point moja old trafford so hao wala nilikua sina wasi wasi nao...stamford bridge is next boys...kuna dogo hapo juu mshabiki wa kufikia wa chelsea asije akakimbia tu wiki ijayo