Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi niulize huyu Papis Demba Cisse mbona amekuwa flop siku hizi maana january mpaka mei alifunga magoli 13 kwenye mechi 13 za EPL whats wrong???


It happens kaka... Au umesahau Chamakh???
 
Hongereni Wakuu BJ & Co kwa ushindi mnono
 
Lile goli la Cleverly zuri sana.... ile ndo huwa wanaita "BANANA CHOP" Safi kabisa...
 
...Sio kwa MANU Mkuu....wakishakutungua 3-0 basi ni kujitahidi tu wasiondoke na kapu la magoli...lakini hilo la kurudi sahau kabisa Mkuu.

BUBU ee bado mapema bana.... Bado kuna Quarter an hr to play asee
 
Good results red devils, newcastle has always
been a tough fixture in recent years, 3pts and we r lookin forward to the next game, we have got a 2wk break so at least we have got time to recover and get our injured players back.
 
FA watakuwa kama UEFA sasa .. .... bring the damn technology. Aibu hii ..... .... na huyu MD anajipendelea mechi kubwa kubwa huku anawaza bahasha.
 
Kuna watu ambao hawajui mpira humu ndani walisema eti we r a one man team and we relie on rvp only well hellooo evans evra and cleverley scored today so next time shut up and concentrate on your own god damn team :biggrin1:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…