TROPHY
Liverpool 43
Manchester United 42
It's official Liverpool are more success than Manchester United .
Endeleeni kupiga kelele tu.
Pathetic. Unaongelea Liverpool ya mwaka gani ndugu? Yani nowadays watu waache kutazama game ya Liverpool huko UEFA wakatazama ukicheza na Astana? Waache kutazama mpira wa maana wa Liverpool wakatazame legless rashfords? You still live in the past mzee? Au huwa unaenda kutazamia hizo games zako wapi??Kitu kinachonifanya niwadharau Liverpool ni Man Utd kutoka kuwa na makombe 7 ya EPL na wao wakiwa na makombe 18 halafu sasa hivi wana EPL hizo hizo 18 na United wana 20
Hawa jamaa ndio maana kwenye baadhi ya kumbi wapo 4, halafu mechi zikiwa nyingi game zao hazioneshwi
Hawa jamaa ndio maana kwenye baadhi ya kumbi wapo 4, halafu mechi zikiwa nyingi game zao hazioneshwi
Pathetic. Unaongelea Liverpool ya mwaka gani ndugu? Yani nowadays watu waache kutazama game ya Liverpool huko UEFA wakatazama ukicheza na Astana? Waache kutazama mpira wa maana wa Liverpool wakatazame legless rashfords? You still live in the past mzee? Au huwa unaenda kutazamia hizo games zako wapi??
Msimu uliopita Liverpool ndo ameongoza kwa Uingereza na dunia nzima kwa mapato kwa njia ya matangazo ya Televisheni kwa mechi za mpira. Sasa imekuaje na ingali haitazamwi? Na ikawaje mechi zake ndo zimerushwa nyingi kuliko timu zingine kwenye league?wake up from the dead past, man! View attachment 1212603View attachment 1212604
Mkuu uwe unasoma na kuelewa, wapi nimesema Liverpool haitazamwi kipindi hichi?
Hata juzi Liverpool ilivyotobolewa matobo mawili na VVD akitoa assist ya paundi milioni 75 tuliingalia. By the way, wewe hukuiangalia United Vs Astana and yet you are talking about the game
Umeweka orodha ya mapato ya msimu uliopita, sawa..... Tuwekee na orodha ya vilabu tajiri duniani basi na uchumi wao kiujumla. PATHETIC.
Old Trafford ni Anfields 2, fans base ya United mara 10 ya Liverpool, kila kitu cha United ni kikubwa kuliko cha Liverpool. Kwenye vibanda umiza mashabiki wa United 50,wa small club Liverpool wapo 5, huwa nawaonea huruma mechi zikiwa nyingi, game zenu hazioneshwi
Kinachowaumiza sana, hata katika kipindi kigumu/mpito, United anabadilishana namba na Madrid na Barca tu kwenye Forbes list
Naona Matic anajitangaza mwenyewe kwa kupost stats zake kwenye mitandao.
Si anaona mpepo unamvumia upande wa kushoto
Anawaza sana inaelekea. |
68 mkuu af liver 66 fwatlia vzur
McSause aka McTominay ndo anayemsumbua kiasi hiki??
Naona Matic anajitangaza mwenyewe kwa kupost stats zake kwenye mitandao.
Sasa baba kama mechi zikiwa nyingi hatuonyeshwi, imekuaje tunaongoza kwa amount of matches broadcasted? Na imekuaje tukaongoza kwa mapato ya broadcasting? Na hiyo timu yako yenye fan base kubwa ikawaje ikapitwa kutazamwa na kurushwa mara nyingi on tv tena kwenye English League?Mkuu uwe unasoma na kuelewa, wapi nimesema Liverpool haitazamwi kipindi hichi?
Hata juzi Liverpool ilivyotobolewa matobo mawili na VVD akitoa assist ya paundi milioni 75 tuliingalia. By the way, wewe hukuiangalia United Vs Astana and yet you are talking about the game
Umeweka orodha ya mapato ya msimu uliopita, sawa..... Tuwekee na orodha ya vilabu tajiri duniani basi na uchumi wao kiujumla. PATHETIC.
Old Trafford ni Anfields 2, fans base ya United mara 10 ya Liverpool, kila kitu cha United ni kikubwa kuliko cha Liverpool. Kwenye vibanda umiza mashabiki wa United 50,wa small club Liverpool wapo 5, huwa nawaonea huruma mechi zikiwa nyingi, game zenu hazioneshwi
Kinachowaumiza sana, hata katika kipindi kigumu/mpito, United anabadilishana namba na Madrid na Barca tu kwenye Forbes list
Madrid ,barca wanajiandaa kumchukua klopp na VVD2013? Hapo wenyewe umewapendelea, Hadi msimu wa pili wa Mou wapo vibaya, wamekuwa vizuri misimu miwili iliopita, na hakuna guarantee wataendelea kuwa vizuri,
Aisee timu za EPL zinapiga hela , pamoja na chama langu la North London kushiriki futuhi , lkn Barcelona , sijui kina juve ,baryen tumewapita mapato ...Na hii ni kwa dunia nzima!
View attachment 1212606La Liga TV income dwarfed by England Premier League | Football Espana
Only three Spanish clubs earned more from TV rights in La Liga than English Premier League club Huddersfield Town, it has been confirmed. Only Barcelona, Real Madrid and Atletico Madrid earned more in the 2017/18 campaign than Huddersfieldâs â¬109.38m in the 2018/19 season.www.football-espana.net
Mi naona mjadala wa liverpool ufungwe tu mkuu au ww wasemaje liverpool kwa sasa alichomzidi united ni uhakika wa kucheza champions league au natania bana hii mada tuifunge
Yani wengine hata West Ham kawapita vigogo kabisa mzee. EPL si mchezo.Aisee timu za EPL zinapiga hela , pamoja na chama langu la North London kushiriki futuhi , lkn Barcelona , sijui kina juve ,baryen tumewapita mapato ...