...Mkuu Wacha1...Namjua huyu maamuzi yake mengi huwa yamejaa utata. Baada ya HT atawaminya sana Newcastle ili kuhakikisha hawapati nafasi ya angalau kutoa sare.

Judas angekuwa red carded alimwachia ile faulo ya kwanza, ya pili ndio kampa kadi .... ...... ... 50/50 zote kawapa Manyu ... ....... vile vile kawanyima penalty for shirt pulling, stay tuned