Kikombe alichokinywa LFC na Nyumbu mnaenda kukinywa tena zaid ya kile , usijiaminishe sana kua mtarud kwenye ubora wenu labda kina web wazaliwe upya
Shaqiri,Origi na Keita hawana vipaji?
Halafu Rashford ndio ana kipaji?!! Mnavutia kwenu sana
Mbona bench lenu lina jones, valencia, fred, young hujalizungumzia
Hao uliowataja ndio wametupeleka UCL Final back to back na wamekupa UCL ya 6 wewe wako wamekupa nini mpaka sasaJamaa wanajitoa ufahamu sana kama liverpool imekuwa timu bora kwa miaka 10 kumbe imeibuka 2017 na bado hamna dalili ya kutamba miaka 10 haka ka upepo kamewapumbaza ukiangalia bech kuna shakir,orig na keita, lalana na milner kwisha hapo sasa utaniambia kuna vipaji? Sema wanabahat timu inajituma na kucheza kwa nguv
Man Utd hawataweza kufika level za Liverkuku.... Sorry, ni Liverfools
Unajua kwanini?
Kwa sababu United ni klabu kubwa duniani
Kikombe alichokinywa LFC na Nyumbu mnaenda kukinywa tena zaid ya kile , usijiaminishe sana kua mtarud kwenye ubora wenu labda kina web wazaliwe upya
Hahahahahahahahah Wewe jamaa nilishakwambia Manchester United hii ni kama kikundi cha kulia Msibani kwa sasa kinachopatikan Buguruni kwa Binti Madenge, Eti haka ka upepo kamewapuliza tu na nyie mbona hakawapulizi sasa hako ka upepo.
Man Utd hii hii inayotaka wachezaji wa kiingereza tu ?
HAhahhah
Sasa hivi mnamfukuzia Jadon Sancho ukiuliza sababu watakuambia kipaji ila sio kweli jibu ni kwa sababu Sancho ni mzawa
Fuatilia confirmed pursuits za dirisha lililofungwa mwezi uliopita kama sio 100% English players ndio mliokuwa mnawatafuta
That said kwa kukumbatia uzawa hamna uwezo wa kupambana kiubora na Chelsea na Manchester City clubs ambazo zinataka wachezaji wenye viwango sio wazawa kama klabu yenu
Hata Pep akiondoka Clubs za kizawa za Manchester United na Liverpool hazitakuwa kiushindani kushindana na Manchester City labda sheikh Mansour aweke kocha garasa pale Etihad
Hao uliowataja ndio wametupeleka UCL Final back to back na wamekupa UCL ya 6 wewe wako wamekupa nini mpaka sasa
We kweli hujui mpira unajua Chelsea ina wachezaji wangapi wa kingereza, kina Barkley, Mount Abraham Kinana ,Tomori wote waingereza hao
Man Utd hii hii inayotaka wachezaji wa kiingereza tu ?
HAhahhah
Sasa hivi mnamfukuzia Jadon Sancho ukiuliza sababu watakuambia kipaji ila sio kweli jibu ni kwa sababu Sancho ni mzawa
Fuatilia confirmed pursuits za dirisha lililofungwa mwezi uliopita kama sio 100% English players ndio mliokuwa mnawatafuta
That said kwa kukumbatia uzawa hamna uwezo wa kupambana kiubora na Chelsea na Manchester City clubs ambazo zinataka wachezaji wenye viwango sio wazawa kama klabu yenu
Hata Pep akiondoka Clubs za kizawa za Manchester United na Liverpool hazitakuwa kiushindani kushindana na Manchester City labda sheikh Mansour aweke kocha garasa pale Etihad
Kikombe alichokinywa LFC na Nyumbu mnaenda kukinywa tena zaid ya kile , usijiaminishe sana kua mtarud kwenye ubora wenu labda kina web wazaliwe upya
Man Utd hii hii inayotaka wachezaji wa kiingereza tu ?
HAhahhah
Sasa hivi mnamfukuzia Jadon Sancho ukiuliza sababu watakuambia kipaji ila sio kweli jibu ni kwa sababu Sancho ni mzawa
Fuatilia confirmed pursuits za dirisha lililofungwa mwezi uliopita kama sio 100% English players ndio mliokuwa mnawatafuta
That said kwa kukumbatia uzawa hamna uwezo wa kupambana kiubora na Chelsea na Manchester City clubs ambazo zinataka wachezaji wenye viwango sio wazawa kama klabu yenu
Hata Pep akiondoka Clubs za kizawa za Manchester United na Liverpool hazitakuwa kiushindani kushindana na Manchester City labda sheikh Mansour aweke kocha garasa pale Etihad
KWA MARA YA KWANZA NIMEMUONA SHABIKI WA MANCHESTER UNITED NAE ANAANZA KUJIVUNIA HISTORIA maisha yamebadilika sasa.Hapo ni mbele tu tulikuwa tunamtegemea web
Bado kipa na wakina vidic hujataja ma scholes na ma giggs mnatia huruma hii mijadala ya soka kwenu migumu mmeteseka sana bado unakisingizio cha web? Au mpira ulikuwa unaangalizia live score na flash score kama ulikuwa unakwenda kutazama ungejua namna ronaldo alivyobeba tuzo ya uchezaj bora wa dunia na kwa nini alibeba kama refa alisaidia basi england raha
View attachment 1212180View attachment 1212181
Na kweli sijui mpira nabwabwaja tu siku ziendeWe kweli hujui mpira unajua Chelsea ina wachezaji wangapi wa kingereza, kina Barkley, Mount Abraham Kinana ,Tomori wote waingereza hao
K
KWA MARA YA KWANZA NIMEMUONA SHABIKI WA MANCHESTER UNITED NAE ANAANZA KUJIVUNIA HISTORIA maisha yamebadilika sasa.
Man Utd hii hii inayotaka wachezaji wa kiingereza tu ?
HAhahhah
Sasa hivi mnamfukuzia Jadon Sancho ukiuliza sababu watakuambia kipaji ila sio kweli jibu ni kwa sababu Sancho ni mzawa
Fuatilia confirmed pursuits za dirisha lililofungwa mwezi uliopita kama sio 100% English players ndio mliokuwa mnawatafuta
That said kwa kukumbatia uzawa hamna uwezo wa kupambana kiubora na Chelsea na Manchester City clubs ambazo zinataka wachezaji wenye viwango sio wazawa kama klabu yenu
Hata Pep akiondoka Clubs za kizawa za Manchester United na Liverpool hazitakuwa kiushindani kushindana na Manchester City labda sheikh Mansour aweke kocha garasa pale Etihad
K
KWA MARA YA KWANZA NIMEMUONA SHABIKI WA MANCHESTER UNITED NAE ANAANZA KUJIVUNIA HISTORIA maisha yamebadilika sasa.
Ajabu sana timu kama hii mshabiki wa liverpool anakwambia ili ishinde lazima awepo Web hapo kuna mchezaj wa dunia
Hebu tuone na kikosi cha liverpool cha mwaka huo wa 2008
Maana nakumbuka timu iliyokuwa na ubora huo kwa england ilikuwa chelsea
View attachment 1212164