Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,720
Hiyo aya ya mwisho nimecheka sanaVictor Lindelof asaini mkataba mpya hadi 2024
Daniel James aungana na PP, Tony na Luke Shaw kwenye orodha ya wenye majeruhi. Ameumia ankle.
Greenwood, Axel na Romero wataanza mechi dhidi ya Astana ya Kazakhstan kesho 19/09/2019
VVD (beki bora Ulaya) atoa assist kwa Loriente na kusababisha Napoli kushinda goli 2-0 dhidi yao
Sawa kiongozi nilikuwa sijuiAcha kupotosha watu wazima.
Tammy kazaliwa october 2 1997
Rashford kazaliwa october 31 1997
Rashid tatizo sio umri ..mpira wake wa academy sio kipaji kile..Watu wanashindwa kuelewa kwamba kuchelewa kutoka/ku shine sio umri mdogo
Dah huyu mtoto anajua sanaSolskjær atuletee huyu kijana haraka sana, maana hii ndio goal machine (future) baada ya Kirikuu na kaka yake Penaldo kutundika daruga huyu kijana na mwenzie Felix naona wakifanya makubwa kama Messi na Ronaldo; japokuwa wanaweza wasiwafikie hawa wababe lakini hawa watoto ni hatari. Erling Braut Håland mechi anazocheza ni chache kuzidi magoli anayofunga, usiseme labda ni kutokana na timu anazokutana nazo ila dogo anaujua alipokuwa under 20 Norway kuna katimu alikazibua goli 9juzi kaondoka na mpira wa UEFA CL huyu ni zaidi ya Rashford kama unabisha, naomba leo baada ya kucheza na Astana uniletee picha ya Rashford akiwa amebeba mpira wa Europa kwa kupiga hat-trick (hawezi) sio picha akiwa anarusha mpirabaada ya kumuacha Felix basi tunapaswa kugeukia huku, tucheze tu hata kamari hapa akija kushindwa PL tunamtoa kwa mkopo kwenda Chelseabila shaka watakuwa washafunguliwa kusajili na Abraham atakuwa ashakata upepo kitambo sana.View attachment 1211057View attachment 1211058
Moja ya wachezaji tutakaojutia kuwapata na haikuwa ngumu kuwapata ni Joao Felix. Kwa huyo dogo, hakuna cha Mbape, Mesi, Ronaldo wala Neyma et al. AM watamuuza kwa hela ndefu sana. Dogo yupo smart balaah
Rekod zake izo Apo nambien akiwa liver asha wah fksha goal 10 uyo Sterling af akiw na man city kaanz kuwak mcim wa 2017/2018View attachment 1210117
Alafu Dogo mwenyewe ana ipenda Man u toka kitamboSolskjær atuletee huyu kijana haraka sana, maana hii ndio goal machine (future) baada ya Kirikuu na kaka yake Penaldo kutundika daruga huyu kijana na mwenzie Felix naona wakifanya makubwa kama Messi na Ronaldo; japokuwa wanaweza wasiwafikie hawa wababe lakini hawa watoto ni hatari. Erling Braut Håland mechi anazocheza ni chache kuzidi magoli anayofunga, usiseme labda ni kutokana na timu anazokutana nazo ila dogo anaujua alipokuwa under 20 Norway kuna katimu alikazibua goli 9juzi kaondoka na mpira wa UEFA CL huyu ni zaidi ya Rashford kama unabisha, naomba leo baada ya kucheza na Astana uniletee picha ya Rashford akiwa amebeba mpira wa Europa kwa kupiga hat-trick (hawezi) sio picha akiwa anarusha mpirabaada ya kumuacha Felix basi tunapaswa kugeukia huku, tucheze tu hata kamari hapa akija kushindwa PL tunamtoa kwa mkopo kwenda Chelseabila shaka watakuwa washafunguliwa kusajili na Abraham atakuwa ashakata upepo kitambo sana.View attachment 1211057View attachment 1211058
Alafu Dogo mwenyewe ana ipenda Man u toka kitambo
Yaan Man U tushindwe wenyewe.. Tu
Baba ake alicheza Leeds United na Man City kama beki
Akavunjwa mguu na Roy Keane katika Derby Manchester, na ikawa mwisho wa carrier yake
Amezaliwa Leeds na shabiki wa Leeds United, ataanzaje kuipenda United
Kitu pekee kinachoweza kumvutia United ni OGS aliyempa debut pale Molde
Pia baba yake kasema, kupenda timu ni jambo moja na kucheza mpira kama kazi /profession ni jambo jingine hivyo kwenda United kufanya kazi anaweza ila sio sababu ya mapenzi
Pia OGS juzi amemfananisha na Lukaku, je atakuwa kwenye Mipango ya OGS?
Tatizo la huyu dogo ni moja tu!Baba ake alicheza Leeds United na Man City kama beki
Akavunjwa mguu na Roy Keane katika Derby Manchester, na ikawa mwisho wa carrier yake
Amezaliwa Leeds na shabiki wa Leeds United, ataanzaje kuipenda United
Kitu pekee kinachoweza kumvutia United ni OGS aliyempa debut pale Molde
Pia baba yake kasema, kupenda timu ni jambo moja na kucheza mpira kama kazi /profession ni jambo jingine hivyo kwenda United kufanya kazi anaweza ila sio sababu ya mapenzi
Pia OGS juzi amemfananisha na Lukaku, je atakuwa kwenye Mipango ya OGS?
Dah huyu mtoto anajua sana
Arsenal tunamfatilia na mwenzake Szoibai
Tulituma maskauti juzi wakicheza na Genk,
Summer tunaweka mzigo
Rashid tatizo sio umri ..mpira wake wa academy sio kipaji kile..
Hivi wale waliokuwa wanamtaka Zizzou achukue mikoba ya umeneja United bado wapo?
Huyu jamaa sikuwa na imani nae kwa madrdi hii hata ukiwa na majeruhi bado huwez kufungwa kizembe na psg isiyo na neymar,cavan na mbape