Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Siongei kishabiki mkuu ..uyu Rashid kwa wastani wa mechi tatu/nne ndo anafunga goli moja ..tena labda itokee penati...sasa apo kufikisha goli kumi tano kwenye all competition na uhakika hafikishi ...sembuse EPL tu...
 
Apo ni Pobga na Bissaka ndo wataingia moja kwa moja kwenye fisrt XI ya chelsea, Uyu De gea itabid afait kuchukua namba ya Kepa, magwaya ni Zouma aliyechangamka
Martial labda arsenal ndo atapata namba..

Kila la kheri Chelsea
 
Fred akiwa shakhtar amecheza holding vizuri tu..
 
Huo ndio ukweli

Wote tunatambua kwamba Rashy sio forward ambaye siku moja atakuja kupata golden boot, lakini hiyo haimaanishi kwamba hawezi kufikisha goli 15-20

Sasa Ollachuga yeye anaongea kishabiki tu
Mkuu ni msimu upi Rashiford alifikisha hata goli 11 au 12 tu achilia mbali 15.. nikumbushe tafadhali

Kila la kheri Chelsea
 
Pogba na Fred namba gani?
 
Mkuu ni msimu upi Rashiford alifikisha hata goli 11 au 12 tu achilia mbali 15.. nikumbushe tafadhali

Kila la kheri Chelsea
Unamaanisha alifikisha ama hajafikisha?

-2018/19 ana goli 15 (10 ligi, 3 cup, 2 Uefa)
-2017/18 ana goli 10
-2016/17 ana goli 7
-2015/16 pia goli 7

Na Hana miaka 26 ama 27 Huyu Rashford, alikuwa anacheza mpira Huku anaenda shule, hajafikia peak ya kiwango chake bado anakua.
 

Kwa ulivyowapanga wachezaji kwa hizi Namba, Unaonekana unatizama game za Manchester tofauti na tunayoijua sisi.

Unasema MCT ni namba 8 sio?
 
Rashford hana uwezo wa kufunga bao kumi lakini bado anachezea united na wala hazungumzwi kama ni ovyo ila lukaku aliyekua anatupa zaidi ya bao kumi kasimangwa weeeeee mwishowe kauzwa kilazima....
 
Soma hapo juu, Chief ameweka stats za magoli yake

Ninakubali kuwa Rashy sio prolific goal scorer lakini sio mbovu kama wapinzani wake mnavyodai

Rashy anaweza kushindwa kukupa goli 25-30,lakini akipewa ruhusa na kocha ya kuingia kati kati (maeneo ya goli) ana uwezo wa kukupa magoli 15-25
Kwani miaka ya nyuma amefunga magoli mangapi? Tuseme ukweli Rash ni hyped player
 
Kwa ulivyowapanga wachezaji kwa hizi Namba, Unaonekana unatizama game za Manchester tofauti na tunayoijua sisi.

Unasema MCT ni namba 8 sio?
Ndio kwa maana ya B2B mid.

Labda unisaidie unadhani MCT best position yake ni ipi 6 yaani DM au 10 yaani AM.
 
Msimu huu ni main striker. Mwenzake ana goli 7 tayari. Yeye anajiangusha kupata penalt. Hovyo sana.
 
Pogba angecheza nafasi ya Rashford angekuwa na magoli mengi kuliko Rashford kwa sasa.

Huyu jamaa sio kama waingereza wanavyompa kichwa. He is too average.
 
Huo ndio ukweli

Wote tunatambua kwamba Rashy sio forward ambaye siku moja atakuja kupata golden boot, lakini hiyo haimaanishi kwamba hawezi kufikisha goli 15-20

Sasa Ollachuga yeye anaongea kishabiki tu
Rashford akifikisha goli zaidi ya 20 msimu huu naacha kushabikia soka. Na humu siingii tena.
 

You sound like a mid table team fan.

Man Utd ni club kubwa sana.

Kuwa na striker anayekupa magoli 10 tena ya penalti ni wa kutupwa huko.

Angalia striking force ya Liverpool, Barca, Madrid, Juventus, PSG.

Halafu anagalia hiyo takataka unayoitetea eti sio mbaya sana.

Rashford ni mchezaji wa hovyo, sema Ole hajielewi na kuwaendekeza Waingereza.
 
Pogba angecheza nafasi ya Rashford angekuwa na magoli mengi kuliko Rashford kwa sasa.

Huyu jamaa sio kama waingereza wanavyompa kichwa. He is too average.
Punguza chuki dhidi ya Rashford.

Kacheza kama main striker mechi Mbili tuu.

Bado ana umri mdogo( 21). Anachoitaji ni good coaching.
Tayari kashaonesha anaweza ni swala la improvement tuu.
 
Fred Tominay na Pereira ndiyo hufanya vizuri wakicheza pamoja.

Nakubaliana na suggestion juu ya pogba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…