OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Muda utaongea kivipi mkuu ..Rashid ana misimu mingap mpka sasa? Kuna msimu wowote keshafikisha goli 15?? HahahahaMkuu mimi nakubaliana na hoja yako kuwa Rashid sio striker tishio (hilo sibishi hata kidogo)
Lakini kwa kuwa OGS atampa nafasi za kutosha na penati atapewa na goli 15 kwake sio nyingi kiivyo (hapo ndio tuna tofautiana)
Lakini muda ndio utaongea Mkuu
Mpira haupo hivyo. Hatuna tatizo kubwa midfieldKwa ile midfield yetu Watford wakifanya waliyomfanyia Arsenal second half tutakuwa na wakati mgumu sana
Bila penalty yule hata goli 10 hamnaHaha mpka ipakitane penati mkuu
Ok msimamo wangu ni ule ule.
1-0 ndio lucky ..sio 2-5 mkuu
Duh ...Rashford wenu huyo.View attachment 1208488
Muda utaongea kivipi mkuu ..Rashid ana misimu mingap mpka sasa? Kuna msimu wowote keshafikisha goli 15?? Hahahaha
Hahaha huwa atoboi kabisaBila penalty yule hata goli 10 hamna
Hivi unakuwaje na straika ambaye afikishi hata goli kumi kwa msimu? James huu msimu anaeza kuja kuwa na goli nyingi kuliko RashifordLeicester ulimfunga Kwako huko?
Rashford wenu huyo.View attachment 1208488
Muda utaongea kivipi mkuu ..Rashid ana misimu mingap mpka sasa? Kuna msimu wowote keshafikisha goli 15?? Hahahaha
Acha ujinga, Ronaldo na Messi wanatokea wapi? Au unafikiri tupo mwaka 90's?Hizi stats zinaweza kupotosha kwa kiwango flani, maana Lengo ni kuonesha nani yupo clinical kati ya hao wawili
Hayo magoli aliyopata Rashy (10) ameyapata akiwa anatokea pembeni, sio main striker lakini Tamy ni mshambuliaji wa kati
Hapa nataka tuwe fair kwa Rashy
Acha ujinga, Ronaldo na Messi wanatokea wapi? Au unafikiri tupo mwaka 90's?
Mpira haupo hivyo mkuu
Chelsea angeanza na Liverpool (mechi ya super cup alicheza vizuri sana) , tungeweza kuwa na mindset hiyo hiyo, lakini kwa kuwa alianza na sisi tukampa kichapo kizito, tunachukulia poa tu
Hivi unakuwaje na straika ambaye afikishi hata goli kumi kwa msimu? James huu msimu anaeza kuja kuwa na goli nyingi kuliko Rashiford
Kila la kheri Chelsea
Man united ya sasa kushinda mechi ni jambo la kushangaza ila kutoa sare au kufungwa ni kitu cha kawaida tu.
Ndiyo maana nikasema Siku tukikutana na timu zenye midfield nzuri tunateseka sana tu. Ndiyo maana hata leceister tulistruggle sana

Mkuu sijakupata vizuri hapo
Rashford wenu huyo.View attachment 1208488