D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
tahit chong ndiye kusudio langu.Nani huyo, Chongy au Gomes
Modern football inahitaji wings wanaoweza kufunga magoli.
Mtumiaji wa mguu wa kushoto akitokea kulia atakuwa na nafasi kubwa ya kuliface goli kuliko akitokea kushoto vivyo hivyo kwa right footed winger akitokea kushoto anakuwa na option nyingi za kupiga kuelekea golini tofauti na kutoa cross tu.
Haha mpka ipakitane penati mkuu
Ok msimamo wangu ni ule ule.
Kwenye beki labda Bissaka tu ndo anaweza kuingia first XI ya Chelsea uyu magwaya ata Kristiansen anaeza mueka benchi...
Siku Ole ajisahau amuache Bissaka nje afu magwaya ndani ndo utaona utumbo atakaocheza..
Kila la kheri Chelsea
kama klabu kwa dhati imeamua kumuamini OGS ajenge timu ya muda mrefu bila ya kuangalia athari ya matokeo tutakayoyapata basi ni bora asajiliwe james maddison mbele eriksen.Mkuu umeona kuna Waingereza sokoni wazuri tu kama Madison
Nimesikia kati ya yeye na Ericksen January mmoja atafukuziwa
Nimekupata mkuuMkuu nadhani ni nature tu ya wachezaji
Mfano Mason ana umbile kubwa kulingana na umri wake, kuna dogo midfielder Traore, mshambuliaji Elanga U18 wana maumbile ya kufa mtu
Gomes ana mwili mdogo, na kwa kiasi flani unachangia asipewe nafasi ya kucheza. Lakini wachezaji wa namna hii huwa wana strengths zao zingine zinazo replace mapungufu ya udogo wa umbile
Mfano Gomes kwa ufundi wake haitaji contact na opponent
Najaribu kufikiria mwili wa Lingard, Mata, Messi, Bojan, Silva wote n.k wakiwa na miaka 19 walikuwaje
Dogo apewe nafasi mkuu, huko U23 anakinukisha balaa. Ndani ya miaka 2 atakuwa tishio (akiwa ndani ya United au nje ya United)
ndio hatari ninayoiona mbeleni kwa hawa vijana.Na yeye na Chongy mikataba yao ndio inaisha mwaka huu
Vinginevyo wataondoka msimu ukiisha
tahit chong ndiye kusudio langu.
kwa mtazamo wangu dhaifu umbile lake linamfanya awe slow sana kucheza eneo la winga au namba 10.
kama angelikuwa ni midfield wa chini ingelipendeza zaidi kutokana na ufundi aliojaaliwa kuwa nao.
umbile lake anafanana sana na yule bamboucha wa leicester city aliyetolewa kipindi cha pili.
Usiwe siriyaz mkuu ..mimi huwa mtani sanaUzuri wa wewe jamaa, sio comments zako zote nazichukulia serious, sometime huwa unatania
Nimekupata mkuu
Mechi zimeanza kuwa nyingi,naamini Ole atawapa nafasi..maana mimi kama Gomez namkubali sana
Wana mtukana lakini yeye anawapa raha ..Naona umeanza kuongeza vigezo, kwani penati sio magoli
Niliwahi kukwambia kuwa msimu atapiga penati nyingi za United
Kupiga penati na kufunga pia ni uwezo, muulize Tamy..... Mpaka akaitwa Nyani
ndio hatari ninayoiona mbeleni kwa hawa vijana.
juventus hawachelewi kutoa mkataba mnono kwa wachezaji walioishiwa mikataba huko wanakotoka.
tuwe makini sana.
yule fala ni hatari sana mipira ya kichwa.Ila tuache utani huyu Tammy Abraham atakuwa mtu mbaya very soon..
Usiwe siriyaz mkuu ..mimi huwa mtani sana
Ila Rashid hafikishi goli kumi na tano, "TENA KWENYE ALL COMPETITION"
Kila la kheri Chelsea
Wana mtukana lakini yeye anawapa raha ..
Sasa Rashid yeye anawapa nini Man u fans?
Ni lini Rashid alifunga goli tatu kweny game moja?
Kila la kheri Chelsea
Kati ya game 5 tumepata penati game 4. Tumefunga penati 2 na kukosa 2. Hii inaonyesha hatupotezi mechi kwa kukosa bahati, bahati ipo ila kuna mambo ya hovyo kwa kocha na wachezaji.
Ndiyo hivyo, katika game 5, hatujapata penati game moja tu. Katika penati hizo Rashford kapiga 3 karat 2 na kukosa koja. Pogba napita moja akaikosa. Nayo tulireact kunyimwa penati moja hivi, ambayo nafikiri ingebidi tupewe.4 out of 5? Nilikuwa sijui hilo..
Ila hilo lina hasara zake! Last season Mo Salah alitumia Penalties kama 3 au 4 hivi! Media zikaanza kupropagete kuwa anabebwa na Marefa! Si marefa wakawa trapped na propaganda za Media za Kiengereza! Kudadadeki mpaka leo hata mchezaji wetu atolewe Macho basi hatupewi tuta.
Yani kwenye michezo 5 tumepewa Tuta 1 against Arsenal
Wakati inajuilikana kuwa Ukiwa na Washambuliaji wanaovamia goli muda wote basi unakuwa na Possibility ya kupata Tuta muda wowote.
Kwahiyo nanyinyi sasahivi Media zitawaanzia Propaganda za kuwa Munabebwa
Mkuu mimi nakubaliana na hoja yako kuwa Rashid sio striker tishio (hilo sibishi hata kidogo)
Lakini kwa kuwa OGS atampa nafasi za kutosha na penati atapewa na goli 15 kwake sio nyingi kiivyo (hapo ndio tuna tofautiana)
Lakini muda ndio utaongea Mkuu
Nimekupata mkuu
Mechi zimeanza kuwa nyingi,naamini Ole atawapa nafasi..maana mimi kama Gomez namkubali sana