Msingi wa swali langu umekuja baada ya wewe kusema tuondoe hofu..na ukasema sababu ya sisi kutokupata ushindi ni Rashford kuwa too inconsistency..ndo maana nikauliza leo hatakuwepo??Leo Rashford hachezi??
Vijana watakaosimama leoView attachment 1207285
Fred shida ni nini? Mbona alipopata nafasi dhidi ya PSG alifanya poa sana? |
Fred shida ni nini? Mbona alipopata nafasi dhidi ya PSG alifanya poa sana?
Fred ataingia tu kama sub.
Fred shida ni nini? Mbona alipopata nafasi dhidi ya PSG alifanya poa sana?
Fred ataingia tu kama sub.
Ila timu yetu inapita katika kipindi kigumu sana😂😂 Hilo bench ukilitazama halafu ukaona mchezaji anachechemea unaweza kulia. |
Heri asiwepo kabisa
Naendelea kusema hatuna kocha. |
Naendelea kusema hatuna kocha.
Kikosi kidogo, hujasajili, huna replacements.
Majeruhi yameshatia nanga.
Hiyo ni mechi ya 5 bado michuano mingine bado.
Safari hii ni presha hadi kifo.
nilikuwa sijalielewa dhumuni la swali lako.Msingi wa swali langu umekuja baada ya wewe kusema tuondoe hofu..na ukasema sababu ya sisi kutokupata ushindi ni Rashford kuwa too inconsistency..ndo maana nikauliza leo hatakuwepo??
Ushindi mapema ila sio kwa hao LeicesterLEO MARTIAL HAYUPO USHINDI MAPEEEEEEMA