M Z A N Z I B A R I
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 21,699
- 117,147
janaya lini hii? Hii timu kweli imekua ya walevi.
janaya lini hii? Hii timu kweli imekua ya walevi.
Huyu jamaa hata leo anaweza kutusaidia kwenye timu yetu.. wachezaji wa sasa wa United Sijui wanajiskiaje wakiona vitu Kama hivi vinafanywa na mstaafu
Team OGSTimu itajengwa taratibu
Huyu jamaa hata leo anaweza kutusaidia kwenye timu yetu.. wachezaji wa sasa wa United Sijui wanajiskiaje wakiona vitu Kama hivi vinafanywa na mstaafu
no comment
Ata KdB hana Mambo ya kishamba yakung'ang'ania kukaa na mpira, Ila bishoo anazingua PP anacheza Kama yupo kwenye maonyesho au mazoezi,Halafu alikuwa hakai na mpira muda mrefu mguuni akiupata kaachia pas fasta tena ya maana sasa pagba ataanza kanzu mara tobo mwisho wa siku mebak wa timu pinzan wanajaa hakuna kupenya tena
Paulo pogba ndio kiini cha matatizo ya Manchester united halafu sababu nyingine zinafuata. Huu ni mtizamo wangu na ninaomba uheshimiwe wakuu.Ata KdB hana Mambo ya kishamba yakung'ang'ania kukaa na mpira, Ila bishoo anazingua PP anacheza Kama yupo kwenye maonyesho au mazoezi,
Kesho tutajua Matatizo ya Timu ni Pogba au nani?
Naomba Wan-Bissaka mtu wa Kazi kazi awepo. Katikati weka watu wazito mbele weka benchi Lingard anzisha Mata au Greenwood.
BREAKING: Paul Pogba, Anthony Martial and Luke Shaw have been ruled out of Manchester United's clash with Leicester this weekend with injury.
Kesho tuna kazi ngumu sana matokeo yetu ni yale yale
Kesho tutajua Matatizo ya Timu ni Pogba au nani?
Naomba Wan-Bissaka mtu wa Kazi kazi awepo. Katikati weka watu wazito mbele weka benchi Lingard anzisha Mata au Greenwood.